Huu ujinga utaacha lini!?cha kwanza iran hana hypersonic misiles, ambae hadi sasa ana hypesonic duniani ni mrusi peke yake, amerca yuko kwenye majaribio ya mwisho mwisho, hao wavaa kobasi tech ya hypersonic hawana na hawawezi kua nayo ..upoo hapo shehe ubwabwa?
Nani kakudanganya Iran hana hypersonic missiles!?
Anazo na hata kombora alilorusha Houthi lilikua hypersonic kutoka kwa Iran.Iran duniani ni moja ya mataifa yenye technology kubwa katika uundaji wa missiles aina zote.
Unaweza ukaleta ushahidi wa hao askari 1500 wa Hizbollah kuuawa!?kuhusu suala la kufa vitani ni kawaida hakuna vita ambayo askari hawafi, hezbolah wao wamesema wameshaua askari 50 wa israel, israel imesema imeshaua wapiganaji 1500 wa hezbolah, sasa hapo wewe angalia nani ndo anaepewa kichapo?
Usifananishe raia na wanamgambo.
Wanaouawa ni raia usilete habari za wanamgambo.
Kila mtu anafahamu hapa waliouawa ni raia tena Beirut baada ya zile IDF airstrikes.
Acha ufala basi kupotosha taarifa.cha pili hayo makombora 300 ni kama alilipiza kisasi hewa hivi mfano mimi nakupiga wewe nakuvunja taya alafu wewe unanirushia ngumi zote nazizuia sasa hapo utasema umelipiza kisasi au nimekupiga? kisasi lazima kilete madhara kama ambayo wewe umeletewa madhara? makombora ambayo iran alirusha israel ilikua ni kujitutumua tuu ili kurudisha uaminifu kwa raia wake.. lakini hakuna madhara yoyote yaliyofika..hakuna mtu aliyekufa.. yalitunguliwa angani, mengine yalidondoka hewani yenyewe yaliishiwa nguvu..sasa hicho nacho utaita kulipiza kisasi?
Ndio maana nasema naongea na mtu ambaye hayuko well informed.
Shambulio la May ya drone 300 na ballistic missiles lilileta madhara katika kambi za jeshi na shambulio la Oktoba mosi la missiles 200 lilileta madhara pia hususan kambi za kijeshi.
Hakuna mtu asiyefahamu kuwa USA,UK,FRANCE na Jordan waliisaidia Israel kuzuia lile shambulio licha ya kuzuia makombora baadhi yalipita na yakaleta madhara vile vile.
Jiulize hayo mataifa yasingehusika kuzuia hayo makombora mwezi May Israel ingekua na hali gani!?
Still bado mwezi huu aliyeshiriki kuzuia ni USA peke yake umeona madhara yake kambi zimepigwa ikiwemo NEVATIM AIRBASE imepigwa tena kisawa sawa.
Huzungumzi na watoto humu.
Pia usisahau Hizbollah inapigana kwa usaidizi wa IRGC.