Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, na anazituhumu nchi za Magharibi kwa madai ya uongo kuhusu Iran kutafuta silaha za nyuklia.

“mytake” Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
 

Attachments

  • IMG_3136.jpeg
    IMG_3136.jpeg
    135.3 KB · Views: 44
Fool me Once Shame on You; Fool me Twice Shame on Me....; North Korea angekuwa hana Nuclear hawa wanafiki wangeshamfutilia mbali Gaddafi angekuwa nazo mpaka leo angekuwepo, Deal na kazi nzuri aliyofanya Obama na Iran Chizi Trump aliifuta alivyoingia mara ya kwanza leo hii anataka tena kuileta mezani ?!!!!

Binafsi ningependa haya mabomu yafutiliwe mbali wote wasiwe nayo kama wenyewe wanayo kwanini isiwe wengine ?!!!!!

Tuache UNAFIKI....
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Hizo ni ndoto za mwendawazimu!!
 
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, na anazituhumu nchi za Magharibi kwa madai ya uongo kuhusu Iran kutafuta silaha za nyuklia.

“mytake” Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
jitie kidole cha sikio unuse...wakati waisraeli wa mchongo umewadia
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Kama Iran anauwezo wakumchakaza Israel.... MAANA YAKE UNATUAMBIA IRAN PIA ANAUWEZO KUIPIGA MAREKANI IKACHAKAA. Sasa tujiulize Hezbollah ilipigwa kwa nn Iran hakuingilia? Hamas inapigwa kwa nn Iran haiingili? Houthi miundo mbinu inapigwa kwa nn Iran haiingili? Think twice
 
IIsrael ya mnyaman ndio itarusha jiwe kwa
Iran Baada ya kupewa kipigo cha promise 1 na 2 kwasasa kabakisha M'domo tu mambo ya Siasa kujikweza !!!!

lkn sio Matendo Usikiii tena Ugaid ndani ya Iran !!

Mtu anakutwanga na yupo Iran apo apo kama anacheza draft tu miji ya Israel inawaka MOTO.!!!

ISRAEL Ataishia kubana pua tu.
 
Israel ni shoga tu mbele ya Iran hawezi kugusa Iran, akigusa Nuclear facility ndio itakuwa kiama chake.
 
IIsrael ya mnyaman ndio itarusha jiwe kwa
Iran Baada ya kupewa kipigo cha promise 1 na 2 kwasasa kabakisha M'domo tu mambo ya Siasa kujikweza !!!!

lkn sio Matendo Usikiii tena Ugaid ndani ya Iran !!

Mtu anakutwanga na yupo Iran apo apo kama anacheza draft tu miji ya Israel inawaka MOTO.!!!

ISRAEL Ataishia kubana pua tu.
Kwa aibu huwezi hata kidogo kuongelea The Promise-3 ambayo iran wameshindwa kuitekeleza!!
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Tunasikiaga hivyo hivyo kila mara misikitini lakini mwishiwe inakuwa Kilio kwa Waislam.. Nadhani Allah yupo upande wa Ban Israel
 
Kwa magaidi wa Hezbollah mlisema hivyo hivyo, kwa magaidi wa Hamas mkasema hivyo hivyo pia akaja dikteta Assad mkasema hivyo hivyo leo tena mnamuongelea huyo mzee anayewafadhili magaidi.

Muda ndio utakuja kuamua na jihadists wote mtaingia mitini kama kawaida.
 
Iran aruhusiwe kuwa na kila atakacho, Israel aruhusiwe kuwa kila atakacho, halafu waache wazichape,atakayechapika dunia imwambie akae kimya sasa.
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Ayatollah na watu wake sio wajinga, kumbuka Israel ina nuclear mkuu hii ni deterence namba moja haijalishi ICBM za Iran. Iran amefocus kwenye proxy wars ila direct confrontation na Israel hatafanya. Hata Israel akimshambulia atajibu mapigo kwa same propotion then anaishia hapo kuavoid escalation. Huu sio uoga ni akili, its about survival. Wayahudi wanamtafutia sababu Ayatollah na yeye bado hapatikani kwenye hiyo sababu.
 
Back
Top Bottom