HakikaUkisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
jitie kidole cha sikio unuse...wakati waisraeli wa mchongo umewadiaKiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, na anazituhumu nchi za Magharibi kwa madai ya uongo kuhusu Iran kutafuta silaha za nyuklia.
“mytake” Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
Kama Iran anauwezo wakumchakaza Israel.... MAANA YAKE UNATUAMBIA IRAN PIA ANAUWEZO KUIPIGA MAREKANI IKACHAKAA. Sasa tujiulize Hezbollah ilipigwa kwa nn Iran hakuingilia? Hamas inapigwa kwa nn Iran haiingili? Houthi miundo mbinu inapigwa kwa nn Iran haiingili? Think twiceUkisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Israeli ilikuwepo kabla ya persia usisahau Hilo,though sipendi wanachowafanyia wapelstina ila Israeli ndo Taifa hapo ni kwao Palestine ni ya mchongo haikuwepo before 1947bandia
Maana yake Ayatollah ameamua kuelekea kibra mwenyewe kama swaiba wake Hassan Nasrallah.Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani
Kwa aibu huwezi hata kidogo kuongelea The Promise-3 ambayo iran wameshindwa kuitekeleza!!IIsrael ya mnyaman ndio itarusha jiwe kwa
Iran Baada ya kupewa kipigo cha promise 1 na 2 kwasasa kabakisha M'domo tu mambo ya Siasa kujikweza !!!!
lkn sio Matendo Usikiii tena Ugaid ndani ya Iran !!
Mtu anakutwanga na yupo Iran apo apo kama anacheza draft tu miji ya Israel inawaka MOTO.!!!
ISRAEL Ataishia kubana pua tu.
Baada kupigwa mara 2 ulitaka tuongeze tena sio ww ujibu kwanza!!!?Kwa aibu huwezi hata kidogo kuongelea The Promise-3 ambayo iran wameshindwa kuitekeleza!!
Tunasikiaga hivyo hivyo kila mara misikitini lakini mwishiwe inakuwa Kilio kwa Waislam.. Nadhani Allah yupo upande wa Ban IsraelUkisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Ayatollah na watu wake sio wajinga, kumbuka Israel ina nuclear mkuu hii ni deterence namba moja haijalishi ICBM za Iran. Iran amefocus kwenye proxy wars ila direct confrontation na Israel hatafanya. Hata Israel akimshambulia atajibu mapigo kwa same propotion then anaishia hapo kuavoid escalation. Huu sio uoga ni akili, its about survival. Wayahudi wanamtafutia sababu Ayatollah na yeye bado hapatikani kwenye hiyo sababu.Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.