SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment.

Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini mwake, mwaka 2015 waislamu kwa kujificha ficha walifika 3000 tu kwasasa waislamu ni 30,000.

Adhana ya kila swala kwa kutumia vipaza sauti misikitini imeruhusiwa katika hiyo nchi kali ya kicommunist kuna hofu kubwa kwamba Uislamu ndani ya miaka 10 watagawana hiyo nchi na wa Buddha.


kimu.png
 
Tunachokijua
Kim Jong Un ni kiongozi wa Korea Kaskazini tangu 2011, alipochukua nafasi ya baba yake, Kim Jong Il. Utawala wake unazingatia itikadi ya Juche, falsafa inayosisitiza kujitegemea, ingawa kwa hali halisi inatumiwa kudumisha mfumo wa udikteta wa chama kimoja. Serikali yake inadhibiti karibu kila sekta ya maisha ya wananchi, ikiwemo dini, na kuifanya Korea Kaskazini kuwa moja ya mataifa yanayokiuka sana uhuru wa kuabudu.

Tangu Desemba 2, 2024 kumeibuka Taarifa inayodai kiongozi huyo Kim Jong Un ameamua kubadii dini na kuwa Muislam. Taarifa hii iliyoletwa na MwanaJamiiCheck inamuonesha Kim akiwa ameshika Msahafu huku kukiwa na ujumbe unaoarifu kiongozi huyo kusilimu. Uchunguzi wa JamiiCheck umebaini taarifa hiyo kutokea Mtandao wa YouTube (hapa na hapa), Mtandao wa TikTok (Tazama hapa), kwenye tovuti za watu binafsi (Tazama hapa). Aidha, JamiiCheck imebaini kuwa madai kama haya yameshawahi kujitokeza mwaka mmoja uliopita (Mwaka 2023) (Tazama hapa na hapa).

1733642513679-png.3171923

Baadhi ya Post za TikTok zinazoelezea Kim Jong Un kusilimu

Upi uhalisia wa Madai hayo?
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck umebaini kuwa madai ya Kim Jong Un kubadili dini na kuwa Muislamu yameenea hasa kupitia YouTube, katika akaunti za watu binafsi. (Tazama hapa na hapa)

Hata hivyo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa sauti au video unaothibitisha madai haya. Zaidi ya hayo, ufuatiliaji wetu katika vyanzo vya kimataifa umeonyesha kuwa hakuna ripoti rasmi au chanzo kinachoaminika kilichoripoti madai hayo.

Kwa kuzingatia historia ya Korea Kaskazini na msimamo wa serikali yake dhidi ya dini, madai haya yanaonekana kuwa ya kubuniwa. Viongozi wa taifa hilo mara nyingi hujihusisha na itikadi ya Juche, ambayo inapinga kufuata dini yoyote rasmi. Ikiwa madai haya yangekuwa ya kweli, ni dhahiri kwamba yangekuwa habari kubwa katika vyombo vya habari vya kimataifa, lakini hilo halijatokea.

Nafasi ya Uislamu na Ukristo Korea Kaskazini
Ukristo unachukuliwa kama tishio kubwa zaidi kwa serikali ya Korea Kaskazini, hasa kutokana na historia yake ya kuhusishwa na mataifa ya Magharibi. Wakristo wanaoshiriki ibada za siri hukabiliwa na mateso makali, kukamatwa, na mara nyingine kupelekwa katika kambi za kazi. (Tazama hapa na hapa)

Ingawa kuna taarifa chache kuhusu Waislamu nchini Korea Kaskazini, dini yoyote isiyoidhinishwa na serikali, ikiwemo Uislamu, inadhibitiwa vikali. Serikali huona imani za kidini kama tishio kwa itikadi rasmi na utii wa wananchi kwa kiongozi wa taifa. (Tazama hapa)
Mkuu nchi za kikuristo ni zipi hizo? au unamanisha za kishogaa?
Usikimbilie ushoga,au unaupenda???,ukiongelea ushoga unafurahia au vipi??

Nchi za kikristo ni marekani,, Russia, France, na kiufupi nchi zote za EUROPE huelewi nini au unakaza fuvu,,leta maelekezo yako na wewe mnaongoza kwa nyanja zipi??
 
Usikimbilie ushoga,au unaupenda???,ukiongelea ushoga unafurahia au vipi??

Nchi za kikristo ni marekani,, Russia, France, na kiufupi nchi zote za EUROPE huelewi nini au unakaza fuvu,,leta maelekezo yako na wewe mnaongoza kwa nyanja zipi??
Huyo waga ni mpumbavu nilishaga mchana kitambo, subiri uone hoja zake utaduwaa.
 
Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment.

Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini mwake, mwaka 2015 waislamu kwa kujificha ficha walifika 3000 tu kwasasa waislamu ni 30,000.

Adhana ya kila swala kwa kutumia vipaza sauti misikitini imeruhusiwa katika hiyo nchi kali ya kicommunist kuna hofu kubwa kwamba Uislamu ndani ya miaka 10 watagawana hiyo nchi na wa Buddha.

View attachment 3169494
Ni kweli hata mimi nimesikia dini ya wafuga majini imeruhusiwa. Siunajua Kim ni Sheta, anapambania kama Mudi nae apate mabikira 72.
 
Ni kweli hata mimi nimesikia dini ya wafuga majini imeruhusuwa. Siunajua Kim ni Sheta, anapambania kama Mudi nae apate mabikira 72.
Umesikia wapi mkuu acha kejeli hamna anae funga majini washirikina wapo kwote kwote, ila hoja ni kwanini huyu kiongozi ameamini Uislamu kiliko dini nyingine.
 
Mkuu mukuristo alio "huru" manaake ni muislimu no wale wa ahal li-kitabu sio hawa walio chakachua taureti na Injili kwa kuingiza maneno yao na kufuata binaadamu wenzao mukristo alio huru hawezi kuabudu masanamu.
Waachie si ni Dini yao? Mi sioni shida kama mtu kaamua kuabudu jiwe au mti. As long as ni maisha na uchaguzi wake. Muisilamu unahangaika na mtu ambaye amejichagulia cha kuabudu? Si utaonekana huna akili. We umekuja kunitembelea ukakuta naabudu paka. Inakuathiri nini? Mi nadhani tutumie tu akili Mungu hakutupa kimakosa.unless otherwise hatuna.
 
Waachie si ni Dini yao? Mi sioni shida kama mtu kaamua kuabudu jiwe au mti. As long as ni maisha na uchaguzi wake. Muisilamu unahangaika na mtu ambaye amejichagulia cha kuabudu? Si utaonekana huna akili. We umekuja kunitembelea ukakuta naabudu paka. Inakuathiri nini? Mi nadhani tutumie tu akili Mungu hakutupa kimakosa.unless otherwise hatuna.
Unaakili mingi sana mkuu
 
Uislam gani, ni huu huu wa kina convax? Yaani wakorea wawe waislam? Labda wazungu wa ulaya wakiamini dini hiyo ndio na hao wakorea wata be islamized
Hadithi za Mtume (SAW)

1. Hotuba ya mwisho ya Mtume (SAW)
Katika hotuba yake ya mwisho, Mtume Muhammad (SAW) alisema:
"Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya asiye Mwarabu, wala asiye Mwarabu juu ya Mwarabu; wala wa mwenye ngozi nyekundu juu ya mwenye ngozi nyeusi, wala wa mwenye ngozi nyeusi juu ya mwenye ngozi nyekundu, isipokuwa kwa uchaji wa Mungu."
(Musnad Ahmad)


2. Kisa cha Bilal (RA)
Bilal bin Rabah (RA), aliyekuwa mtumwa mwenye ngozi nyeusi, aliheshimiwa na Mtume Muhammad (SAW) na kuchaguliwa kuwa muezzin wa kwanza wa Uislamu. Hii ilikuwa ishara ya wazi kwamba Uislamu unapinga ubaguzi wa rangi na unathamini utu wa kila mtu.
 
Ilishatabiriwa shetani mpinga Kristo ataongoza dunia kwa muda, hivyo sioni maajabi hapo, mnafanya mlichotabiriwa.
Mpinga kristo aliemua mkirosto na kumtundika msalabani
Baada ya kushtakiwa kwa madai ya kudai kuwa Mfalme wa Wayahudi, Yesu alihukumiwa kifo cha msalaba na Pontio Pilato, gavana wa Kirumi.
"Basi Pilato, akitaka kuwaridhisha mkutano, akamfungua Baraba, akamtoa Yesu baada ya kumpiga mijeledi, ili asulubiwe."
(Marko 15:15)


2. Kufika Golgotha
Yesu alipelekwa Golgotha, mahali pa kusulubiwa, akibeba msalaba wake.
"Walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, hapo wakamsulubisha yeye na wale wahalifu, mmoja upande wa kuume na mmoja upande wa kushoto."
(Luka 23:33)
HAWA NDIO WAPINGA KRISTO

UISLAM UNAPINGA HOJA NA KUMTETEA YESU

Qur'an Kuhusu Tukio la Msalaba

"Na kwa kusema kwao: Tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu. Nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa kwake. Na hakika waliokhitilafiana katika haya wamo katika shaka nayo. Hawana ilimu nayo ila kufuata dhana tu. Na hawakumuuwa kwa yakini."
(Quran 4:157)

Aya hii inaeleza kwamba:

1. Wale waliodai kumtundika Yesu hawakumuuwa wala hawakumsulubu.


2. Mungu alifanya mtu mwingine afanane na Yesu, na yeye ndiye aliyesulubiwa badala yake.
 
Mkuu mbona hujanijibu vizuri, ila muislamu ni muislamu hata akiwa mlevi wa pombe, wengi huacha ila sio dini ya Uislamu yenyewe inazidi kushika mizizi kwa nchi zile ambazo zili beza uislamu mwanzoni
Definition ya Uislamu, ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kwa kufuata kanuni na misingi husika. Sasa mlevi mzinzi atakuwaje mwislamu mkuu? "Islam is not just a religion but it is a complete way of life, when we say a way life, everything we do in the life falls within boundary of Islam."
 
Hayo mabavu tunayotumia wewe yamekufikia au unaropoka tu? Hivi unajua maana ya mabavu au? Nyie ndugu zangu mnahitaji kutibiwa mna matatizo ya akili sio bure
Kwa chuki uliyonayo ukisikia uislamu unaenea unafura kukaribia kupasuka.. ukipasuka tutakuzika tu
Masikini mnahangaika sana kueneza dini yenu kwa mabavu na propaganda ila kwa bahati mbaya dunia ya leo vinazaliwa vizazi ambavyo vinajua kuhoji na vinatumia akili kuliko hisia, ndio maana mnaona watu wengi siku hizi wanaanza kuachana na hizi dini na huko tunakoelea dini zinazidi kufubaa kwahiyo hata ikitokea uislam ukaenea dunia nzima, hautakuwa ule wa itikadi kali kama sasa hivi wengi watakuwa waislam kwa majina tu ila hawata practice uislam ipasavyo hivyo hautakuwa na impact yoyote
 
Definition ya Uislamu, ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kwa kufuata kanuni na misingi husika. Sasa mlevi mzinzi atakuwaje mwislamu mkuu? "Islam is not just a religion but it is a complete way of life, when we say a way life, everything we do in the life falls within boundary of Islam."
Thats why there punishments en prison not every body is perfect 100% Islam provide room for those who fail to compromise with Islamic laws.
 
Kwamba yale yanayoendelea huko Afghanistan kwa taleban ndio mfumo wenyewe huo, sasa kwann waislam msihamie huko badala yake mnapakimbia
Kwani waislamu sio watanzania kwamini wakimbilia nchi nyingine wakati ni jukumu lao kuakikisha kwamba nchi yao Tanzania pia inakua ya kiislamu kwa 100% nani asio taka pepo ya Allah.
 
Munachohagaikia nini? Hivi Uisilam ukieenea kote duniani una faidika na nini? Hasa. Munatumia nguvu kubwa kuueneza ili mpate nini? Au tuseme ile kauli ya kibaya kinajitebeza? Kizuri kinatafutwa kama ilivyo dawa za kiafrika na mizimu yake.
 
Back
Top Bottom