Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini mwake, mwaka 2015 waislamu kwa kujificha ficha walifika 3000 tu kwasasa waislamu ni 30,000.
Adhana ya kila swala kwa kutumia vipaza sauti misikitini imeruhusiwa katika hiyo nchi kali ya kicommunist kuna hofu kubwa kwamba Uislamu ndani ya miaka 10 watagawana hiyo nchi na wa Buddha.
Your browser is not able to display this video.
Tunachokijua
Kim Jong Un ni kiongozi wa Korea Kaskazini tangu 2011, alipochukua nafasi ya baba yake, Kim Jong Il. Utawala wake unazingatia itikadi ya Juche, falsafa inayosisitiza kujitegemea, ingawa kwa hali halisi inatumiwa kudumisha mfumo wa udikteta wa chama kimoja. Serikali yake inadhibiti karibu kila sekta ya maisha ya wananchi, ikiwemo dini, na kuifanya Korea Kaskazini kuwa moja ya mataifa yanayokiuka sana uhuru wa kuabudu.
Tangu Desemba 2, 2024 kumeibuka Taarifa inayodai kiongozi huyo Kim Jong Un ameamua kubadii dini na kuwa Muislam. Taarifa hii iliyoletwa na MwanaJamiiCheck inamuonesha Kim akiwa ameshika Msahafu huku kukiwa na ujumbe unaoarifu kiongozi huyo kusilimu. Uchunguzi wa JamiiCheck umebaini taarifa hiyo kutokea Mtandao wa YouTube (hapa na hapa), Mtandao wa TikTok (Tazama hapa), kwenye tovuti za watu binafsi (Tazama hapa). Aidha, JamiiCheck imebaini kuwa madai kama haya yameshawahi kujitokeza mwaka mmoja uliopita (Mwaka 2023) (Tazama hapa na hapa).
Baadhi ya Post za TikTok zinazoelezea Kim Jong Un kusilimu
Upi uhalisia wa Madai hayo?
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck umebaini kuwa madai ya Kim Jong Un kubadili dini na kuwa Muislamu yameenea hasa kupitia YouTube, katika akaunti za watu binafsi. (Tazama hapa na hapa)
Hata hivyo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa sauti au video unaothibitisha madai haya. Zaidi ya hayo, ufuatiliaji wetu katika vyanzo vya kimataifa umeonyesha kuwa hakuna ripoti rasmi au chanzo kinachoaminika kilichoripoti madai hayo.
Kwa kuzingatia historia ya Korea Kaskazini na msimamo wa serikali yake dhidi ya dini, madai haya yanaonekana kuwa ya kubuniwa. Viongozi wa taifa hilo mara nyingi hujihusisha na itikadi ya Juche, ambayo inapinga kufuata dini yoyote rasmi. Ikiwa madai haya yangekuwa ya kweli, ni dhahiri kwamba yangekuwa habari kubwa katika vyombo vya habari vya kimataifa, lakini hilo halijatokea.
Nafasi ya Uislamu na Ukristo Korea Kaskazini
Ukristo unachukuliwa kama tishio kubwa zaidi kwa serikali ya Korea Kaskazini, hasa kutokana na historia yake ya kuhusishwa na mataifa ya Magharibi. Wakristo wanaoshiriki ibada za siri hukabiliwa na mateso makali, kukamatwa, na mara nyingine kupelekwa katika kambi za kazi. (Tazama hapa na hapa)
Ingawa kuna taarifa chache kuhusu Waislamu nchini Korea Kaskazini, dini yoyote isiyoidhinishwa na serikali, ikiwemo Uislamu, inadhibitiwa vikali. Serikali huona imani za kidini kama tishio kwa itikadi rasmi na utii wa wananchi kwa kiongozi wa taifa. (Tazama hapa)
Definition ya Uislamu, ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kwa kufuata kanuni na misingi husika. Sasa mlevi mzinzi atakuwaje mwislamu mkuu? "Islam is not just a religion but it is a complete way of life, when we say a way life, everything we do in the life falls within boundary of Islam."
We jamaa uko brain washed sana yan mfumo wamaisha wakiarabu ndo unataka kila mtu aufuate kwamba ndio uislam hujui wamasai, wahadzabe, wachina nahata wew mmatengo unamfumo wako mzuri tu maisha kabla yakuja huyo mudi

soma na kuelewa... mfumo wa maisha wa waislamu, hivyo ukijiita mwislamu ufuate utaratibu wa mfumo wa maisha. Kama ambavyo huwezi kujiita wewe ni budhist huku huishi kama budhist.
We jamaa uko brain washed sana yan mfumo wamaisha wakiarabu ndo unataka kila mtu aufuate kwamba ndio uislam hujui wamasai, wahadzabe, wachina nahata wew mmatengo unamfumo wako mzuri tu maisha kabla yakuja huyo mudi
We ni kobazi mfuasi wa mudy, unachofanya asaiv kinaitwa "Taqqiyah" hata kobazi waliokutangulia walifanya hivo ili ku-survive, endapo allah anajiita "Greatest deceiver" unategemea nn kwa wafuasi wake?
We ni kobazi mfuasi wa mudy, unachofanya asaiv kinaitwa "Taqqiyah" hata kobazi waliokutangulia walifanya hivo ili ku-survive, endapo allah anajiita "Greatest deceiver" unategemea nn kwa wafuasi wake?
Kobozi ni nini mkuu? Hujanielewa unakurupuka kujibu unajua nyie waramba misaramba Mungu aliwanyima busara na akili kwasbb ya kula sana nyama ya nguruwe
Kobozi ni nini mkuu? Hujanielewa unakurupuka kujibu unajua nyie waramba misaramba Mungu aliwanyima busara na akili kwasbb ya kula sana nyama ya nguruwe
Nani anakula nguruwe? Sijui hata harufu ya nguruwe ikoje, au ndo tabia yenu ya ku-assume vitu na kupakazia watu mambo ambayo hayana uhalisia mnapokosa cha kujibu?
Nani anakula nguruwe? Sijui hata harufu ya nguruwe ikoje, au ndo tabia yenu ya ku-assume vitu na kupakazia watu mambo ambayo hayana uhalisia mnapokosa cha kujibu?
Kweny ukristo hatuna majina ya kuwabagua watu ambapo sio wa dini yetu, bali tunawaita "ndugu zetu" kama vile tunavoitana sisi, hayo majina ya Infidels and kafir yanaonesha uhalisia wa mindset ya kibaguzi ya mudy

Hakuna “Mkristo” aliyekosa maarifa kichwani kiasi afikie kuandika ulichoandika hapo kwenye bold.
Kobaz mna matatizo sana,mkuu kwanini kukana dini yako?mimi nakujua wewe muislam safi japo system inakutema kwa sababu mwepesi sana kurudisha mpira kwa keeper ukibanwa mbavu.
Masikini mnahangaika sana kueneza dini yenu kwa mabavu na propaganda ila kwa bahati mbaya dunia ya leo vinazaliwa vizazi ambavyo vinajua kuhoji na vinatumia akili kuliko hisia, ndio maana mnaona watu wengi siku hizi wanaanza kuachana na hizi dini na huko tunakoelea dini zinazidi kufubaa kwahiyo hata ikitokea uislam ukaenea dunia nzima, hautakuwa ule wa itikadi kali kama sasa hivi wengi watakuwa waislam kwa majina tu ila hawata practice uislam ipasavyo hivyo hautakuwa na impact yoyote
Mimi ni Muislam ila hadithi nyingi za Quran hazina uhalisia....binafsi naona tulitoka kwenye misingi sahihi ya dini za mababu zetu now tumekuwa watumwa wa kiimani.
Hakuna “Mkristo” aliyekosa maarifa kichwani kiasi afikie kuandika ulichoandika hapo kwenye bold.
Kobaz mna matatizo sana,mkuu kwanini kukana dini yako?mimi nakujua wewe muislam safi japo system inakutema kwa sababu mwepesi sana kurudisha mpira kwa keeper ukibanwa mbavu.
Kwani wewe unatumia kigezo gani , kubagua wengine kwenye ukuristo, wakwangu sio kama wa kwako mlamba msalamba na anae abudu sanamu, mimi namtambua Yesu kama nabii wa Mungu kama nabbi wengine, naamini kitabu chake alicho pewa Injili, na heshimu mama ake kama mwanamke mtakatifu ambae hajawahi kuzini kabisa nk.
Mkuu mukuristo alio "huru" manaake ni muislimu no wale wa ahal li-kitabu sio hawa walio chakachua taureti na Injili kwa kuingiza maneno yao na kufuata binaadamu wenzao mukristo alio huru hawezi kuabudu masanamu.
Mimi ni Muislam ila hadithi nyingi za Quran hazina uhalisia....binafsi naona tulitoka kwenye misingi sahihi ya dini za mababu zetu now tumekuwa watumwa wa kiimani.