Kiongozi Mkuu wa Scotland, Nicola Sturgeon atangaza kujiuzulu

Kiongozi Mkuu wa Scotland, Nicola Sturgeon atangaza kujiuzulu

Shinikizo la Marekani wanafanya nini kutetea nchi ya ulaya mwenzake.atoe neno.
Si mnakumbuka ujerumani alivyombwela mbwela mpaka na yeye akaweka msimamo kuwa nao marekani apeleme abraham.
Kuna nguvu kubwa sana nyuma za viongozi wa ulaya waisaport ukraine kwa hali na mali.
Awali waliibenza ujerumani kwa kupeleka kofia ngumu 5000.
Kuna haja ya ule utafiti kuwa ugali hudumaza akili kupewa nafasi kubwa zaidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom