Shinikizo la Marekani wanafanya nini kutetea nchi ya ulaya mwenzake.atoe neno.
Si mnakumbuka ujerumani alivyombwela mbwela mpaka na yeye akaweka msimamo kuwa nao marekani apeleme abraham.
Kuna nguvu kubwa sana nyuma za viongozi wa ulaya waisaport ukraine kwa hali na mali.
Awali waliibenza ujerumani kwa kupeleka kofia ngumu 5000.