Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Miaka miwili ijayo hiyo serikali inayojiita ya kidini ya Iran itakuwa haipo madarakani na serikali mpya itakayokuja ya Iran itawalazimisha wapelestina walitambue taifa la Israel ili kuingia kwenye mazungumuzo ya amani na Israel.

Pia hiyo serikali itaondolewa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyowekewa na Marekani baada ya kuachana na mpango wa nyuklia na baadae Iran itakuwa taifa tishio kiuchumi duniani na hiyo serikali itakuwa imetenganisha siasa na dini.
 
Mr Mchochezi usichukua habari misikitini ukaileta jf, Kwani Israel wenyewe wanashagaa waliposikia kuwa eti wameingia syria na wapo karibu maili 15 to Damuscus.. wajinga wanachanganya maeneo Israel ilipo ni zote na sio Town ya mjihuo wehu wamewehuka as usual miongozi ya Kiislam huwahi kupayuka bila ushahidi.. walishawahi ulizwa wakasingizia source ni vyomba vya habari.. lao muhimu kwanza ni kuilaumu Israel then ushahidi utafutwe as long washafanya damage hawatubu ndio tabia za waislam
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kiaongozi wa Magaidi kasema Wasyria wamechoka na vita miaka mingi wapo hoi hawahitaji vita yeyote kwa sasa wanataka kujanga nchi.. Kauli yake imewaudhi sana waarabu na Wakuda wa Kiislam maana wao ndio wanasikia uchungu dhidi ya Israel.. Kawaonesha hataki unafiki na wala asikilizi upuuzi wa wambea doonge tu ndio linawasumbua.. Amesema hataki Vita give up man
 
Huyo US walisha brainwash lakini kuna makundi mle yatamgeuka tu. Hawawezi kukubali Israel afanye atakalo pale Syria.

ISIS ni lazima uwe mfuasi wa Israel au USA.
Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimoja

Wakobazi mnazingua
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sunni mwenzio huyo. Na nyinyi Sunni ndiyo Makatili kweli kweli. Shia wao ni vita tu. Ila kuchinja china wenzao siyo sana. Bali nyinyi duu ni hatari kweli. Hapo anavutia pumzi tu ili sane
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Marekani na israel ni kama yule dajal tuliyoambiwa ,either uungane nao au wakuangamize, huyu jailani alikuwa kwenye americas most wanted terorrist ila sasa amekuwa cleared na ni shujaa wa marekani
 
Attachments

  • Screenshot_20241208-181815_Facebook.jpg
    Screenshot_20241208-181815_Facebook.jpg
    344.3 KB · Views: 2
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Yeye adui namba moja kwake ni iran
 
Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimoja

Wakobazi mnazingua
We bwege nini mimi tawaelewa vipi hao jana walisema target yao ni Israel, leo wanawachia Israel wafanye wanavyo fanya hapo Syria, na hawashambulii hata kifaru cha Israel. Toka mwanzo niliwashakia hao sio waasi isipo kuwa ni jeshi la ISIS linalo tumiwa na US na Israel kwa target zao. Turkey siku zote ni mnafiki.

Kabazi labda baba yako.
 
Wamekubaliana, Israel inaharibu silaha zisizohitajika
We unaakili kweli!? Adui yako asambaratishe kila silaha uliyonayo mwisho wa siku unategemea nini, tena mbaya zaidi anazishambulia silaha zako huku anakuja nyumbani kwako anakuja kufanya nini!? Waarabu tu hawajitambui kabisa
 
Amekwambia ni adui yake? Hao waasi si wameikuta Israel ikiwa inaishambulia Syria kwa miaka yote kabla hata kundi lao halijaanzishwa?
 
Kwani kuna mwendawazimu gani aliyekudanga kuna urafiki wa damu kati ya mwarabu na Yahudi!?
 
Umeshatoka nje ya mada, ukaamua kuonyesha usivyo na uelewa.
Ngoja nikufundishe ili uijue dini yako vizuri.
Kuna misikiti miwili ndani ya Syria, nitauongelea mmoja unaoitwa The Great Mosque of Damascus (Umayyad Mosque).

Hili ni Kaburi la Myahudi Yohana Mbatizaji. Waislam wamejenga Msikiti katika Kaburi hilo na wanaabudu kwenye hilo kaburi. Pia Msikiti huo unadai kwamba wamekitunza humo kichwa cha Yohana Mbatizaji.
 
Huyo US walisha brainwash lakini kuna makundi mle yatamgeuka tu. Hawawezi kukubali Israel afanye atakalo pale Syria.

ISIS ni lazima uwe mfuasi wa Israel au USA.
Sasa tunaanza kuongea lugha moja sheikh wangu. Tulisema mapema sisi wengine haya mambo tuacheni propaganda. Sisi tukajikita kufanya propaganda. Badala ya kuiambia ukweli dunia ione kinachotendeka. Israel imepigwa imechoka, Netanyau ameuawa,Hizbullah wameshinda, Iran.... Kipo wapi? Kipo wapi sasa? Badala tuseme ukweli tuungwe mkono. Sisi tukawa tunajitutumua.
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

sheikh wangu. Tulisema mapema sisi wengine haya mambo tuacheni propaganda. Sisi tukajikita kufanya propaganda. Badala ya kuiambia ukweli dunia ione kinachotendeka. Israel imepigwa imechoka, Netanyau ameuawa,Hizbullah wameshinda, Iran.... Kipo wapi? Kipo wapi sasa? Badala tuseme ukweli tuungwe mkono. Sisi tukawa tunajitutumua.
 
Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimoja

Wakobazi mnazingua
Sheikh wangu sisi ni kama baadhi yetu tuna laana. Hata mimi nashangaa khali hii ya kugeuka geuka kila kuchwapo. Ni juz tu tumetoka kusema Mayahudi wameshindwa. Jana tukasema hawa ni hatari wanaenda ifuta Israel. Leo tunasema hivi tena. Kesho vile. Aaargh tumekuwa kama mwanamke aso na haya aso ona mabaya hajulikani mbele wapi nyuma wapi maana apigwa tu kote kote na yeyote.
 
Marekani na israel ni kama yule dajal tuliyoambiwa ,either uungane nao au wakuangamize, huyu jailani alikuwa kwenye americas most wanted terorrist ila sasa amekuwa cleared na ni shujaa wa marekani
Sheikh wangu Aaa i wapi hiyo ambayo wame mclear?
 
Umeshatoka nje ya mada, ukaamua kuonyesha usivyo na uelewa.
Ngoja nikufundishe ili uijue dini yako vizuri.
Kuna misikiti miwili ndani ya Syria, nitauongelea mmoja unaoitwa The Great Mosque of Damascus (Umayyad Mosque).

Hili ni Kaburi la Myahudi Yohana Mbatizaji. Waislam wamejenga Msikiti katika Kaburi hilo na wanaabudu kwenye hilo kaburi. Pia Msikiti huo unadai kwamba wamekitunza humo kichwa cha Yohana Mbatizaji.
Kwaiyo ulitaka kusema nini kutokana na hayo maelekezo yako uliyolishwa huko uliko mkuu!?
 
Back
Top Bottom