Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Lazima ajipange kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what?Kumekucha…
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimojaHuyo US walisha brainwash lakini kuna makundi mle yatamgeuka tu. Hawawezi kukubali Israel afanye atakalo pale Syria.
ISIS ni lazima uwe mfuasi wa Israel au USA.
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
We bwege nini mimi tawaelewa vipi hao jana walisema target yao ni Israel, leo wanawachia Israel wafanye wanavyo fanya hapo Syria, na hawashambulii hata kifaru cha Israel. Toka mwanzo niliwashakia hao sio waasi isipo kuwa ni jeshi la ISIS linalo tumiwa na US na Israel kwa target zao. Turkey siku zote ni mnafiki.Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimoja
Wakobazi mnazingua
We unaakili kweli!? Adui yako asambaratishe kila silaha uliyonayo mwisho wa siku unategemea nini, tena mbaya zaidi anazishambulia silaha zako huku anakuja nyumbani kwako anakuja kufanya nini!? Waarabu tu hawajitambui kabisaWamekubaliana, Israel inaharibu silaha zisizohitajika
Amekwambia ni adui yake? Hao waasi si wameikuta Israel ikiwa inaishambulia Syria kwa miaka yote kabla hata kundi lao halijaanzishwa?We unaakili kweli!? Adui yako asambaratishe kila silaha uliyonayo mwisho wa siku unategemea nini, tena mbaya zaidi anazishambulia silaha zako huku anakuja nyumbani kwako anakuja kufanya nini!? Waarabu tu hawajitambui kabisa
Kwani kuna mwendawazimu gani aliyekudanga kuna urafiki wa damu kati ya mwarabu na Yahudi!?Amekwambia ni adui yake? Hao waasi si wameikuta Israel ikiwa inaishambulia Syria kwa miaka yote kabla hata kundi lao halijaanzishwa?
Umeshatoka nje ya mada, ukaamua kuonyesha usivyo na uelewa.Kwani kuna mwendawazimu gani aliyekudanga kuna urafiki wa damu kati ya mwarabu na Yahudi!?
Sasa tunaanza kuongea lugha moja sheikh wangu. Tulisema mapema sisi wengine haya mambo tuacheni propaganda. Sisi tukajikita kufanya propaganda. Badala ya kuiambia ukweli dunia ione kinachotendeka. Israel imepigwa imechoka, Netanyau ameuawa,Hizbullah wameshinda, Iran.... Kipo wapi? Kipo wapi sasa? Badala tuseme ukweli tuungwe mkono. Sisi tukawa tunajitutumua.Huyo US walisha brainwash lakini kuna makundi mle yatamgeuka tu. Hawawezi kukubali Israel afanye atakalo pale Syria.
ISIS ni lazima uwe mfuasi wa Israel au USA.
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sheikh wangu sisi ni kama baadhi yetu tuna laana. Hata mimi nashangaa khali hii ya kugeuka geuka kila kuchwapo. Ni juz tu tumetoka kusema Mayahudi wameshindwa. Jana tukasema hawa ni hatari wanaenda ifuta Israel. Leo tunasema hivi tena. Kesho vile. Aaargh tumekuwa kama mwanamke aso na haya aso ona mabaya hajulikani mbele wapi nyuma wapi maana apigwa tu kote kote na yeyote.Wakobazi huwa hamueleweki. Jana ulisema hawa waasi watakua tishio kwa Israel kuliko Assad, ukasema ndio wataenda kuiangusha Israel. Leo unasema hao Ni kitu kimoja
Wakobazi mnazingua
Sheikh wangu Aaa i wapi hiyo ambayo wame mclear?Marekani na israel ni kama yule dajal tuliyoambiwa ,either uungane nao au wakuangamize, huyu jailani alikuwa kwenye americas most wanted terorrist ila sasa amekuwa cleared na ni shujaa wa marekani
Kwaiyo ulitaka kusema nini kutokana na hayo maelekezo yako uliyolishwa huko uliko mkuu!?Umeshatoka nje ya mada, ukaamua kuonyesha usivyo na uelewa.
Ngoja nikufundishe ili uijue dini yako vizuri.
Kuna misikiti miwili ndani ya Syria, nitauongelea mmoja unaoitwa The Great Mosque of Damascus (Umayyad Mosque).
Hili ni Kaburi la Myahudi Yohana Mbatizaji. Waislam wamejenga Msikiti katika Kaburi hilo na wanaabudu kwenye hilo kaburi. Pia Msikiti huo unadai kwamba wamekitunza humo kichwa cha Yohana Mbatizaji.