Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Hawa wote waliongia Syria pamoja na Al Qaida na ISIS wafadhili wao ni USA and Israel.
Hawajawahi hata siku moja kushanbulia Israel. 99% ya wahanga wao ni watu walio dhidhi ya hao wafadhili wao.
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ritz: Nadhani ungetulia mkuu, naona inakupa tabu sana kuumeza ukweli ambao hauhitaji jicho la tatu kuuona! Ukweli ni huu, kwa lugha rahisi kabisa ni huu:

1. Syria imeanguka kwa sababu Iran (IMESHINDWA) Kama hupendi neno hilo, nitumie neno "IMEZIDIWA" Kete katika medani za vita, Watoto wake Hezbollah na Hamas wameshindwa kuleta matokeo ambayo Iran ilitarajiwa!

2. Hamas: Haikupata msaada uliotarajiwa baada ya October 7! Iran haikuingia vitani Gaza! Iran haikuishambulia Israel kuifanya iondoke Gaza! Hayo makombora ya masafa marefu hayakuleta madhara ya kuisababisha IDF isimamishe mapigano Gaza.
3.Hezbollah: Licha ya jazba nyingi, na kuwa na silaha nzito kuliko Hamas, hawakutegemea kabisa Israel itatumia Air power (Majeshi ya anga) na mbinu za ujasusi (Kwa kutumia Pager/Walkie Talkie) na pia ujasusi wa pesa kuuziwa na Walebanon wenyewe kusaliti siri za jeshi lao! Kwa muda mfupi kabisa uongozi wa Hezbollah ulifumiliwa kwa siku chache tu! Hezbolah ikawa inapigana defensive war, vita vya kujihami zaidi kuliko kushambulia!

4.Kulemewa nguvu kwa haraka haraka kuliifanya Hezbolah irudishe askari wake toka Syria na kama kawaida Iran ilishindwa kuja pengo hilo kwa wapiganaji wake, na Urusi macho yake yote yakawa Ukraine. Himaya aliyoijenga Iran ikaporomoka!

Kwa kifupi jamaa zako Iran wamepoteza pakubwa mno! Investment yake ya miaka imekwenda na maji! Wamepagaishwa na Israel na Marekani toka 1978! Nguvu hiyo wangeilekeza ndani ya Iran, Iran ingekuwa mbali sana! Uwezo wao wa kushindana na Marekani na Israel unawapotezea resources na hata majemedari wake! Wewe mwenyewe unaweza kuorodhesha majemedari wake kuanzia Solemani waliofia Syria na Lebanon! Na kutoleta kitu chochote cha maana, siko Kwa lebanon tu hata Gaza!
POLE SANA MKUU!
 
Hizo nu fikra zako upo uhuru kusema chochote.

View: https://x.com/jawadabubakar7/status/1866761153977913551?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo nu fikra zako upo uhuru kusema.

Ritz: Hizi si fikra zangu, ziko wazi mkuu! Teheran haina kabisa strategy kabisa jamaa yangu! Inabidi ianze moja tena! Aliyeiangusha Hezbollah na kuifanya Gaza kuwa magofu, kupoteza watu zaidi ya 45,000! Kuwaingiza Wapelestina katika adha nyingine, yuko Teheran, wali sio Washington! Tel Aviv ! Yuko Teheran mkuu! Mlichokipata ni hao mateka 100! Kwa gharama kubwa mno!

Na kwa sababu mnapenda majibu marahisi, mtazidi kuzunguka mduara tu!
 
Sio mbaya kujifariji Ritz, all those years of investments! Zimekwenda ghafla tu! Death to America! Death to Israel..! Death to Great satan...! America bado ipo....Israel bado ipo....Hata futi moja ya Palestina hamjaipata! Jitafakarini Mkuu! Kuna mahali jamaa zako wana matatizo!

Na tatizo hataki kubalance .. source zake ni za upande mmoja.. hajui kwenye dunia ya sasa. Watoa habari wengi wako Bias.. ila angeamua kuacha mahaba angejua shida iko wapi..

Anachokifanya israel sio kwamba watu wanakifurahia ila bado haiondoi pia ukweli kuwa Iran na washirika wake nao ni sehemu ya tatizo.. Iran anawatumia wapalestina tu hana nia ya dhati ya kuwapa nchi..

Mwenye nia ya dhati angewekeza kwenye njia tofauti mfano njia ya diolomasia kwa kuanza kuhakikisha kuwa wanabadili mtazamo wa kijihad.. haiwezekani muwe na slogan ya "death to all jews" then utegemee hao Jews nao waonyeshe uungwana

Iran ndio karata yake kuwajaza wapelestina itikadi za kijihad kuwa lazima Israel Ifutwe kwenye uso wa dunia kama kweli Ayatolah ana msimamo mkali kwa kuitaka kuifuta israel kwa nini hakupeleka jeshi na kutumia vifaa vyake vyote kuisadia Hamas.. yaan kuhakikisha anaifuta Israel..

Kwa nini kusiwe na shida kati ya Jordan na Israel.. kwa nini imekuwa rahisi kwa cease fire ya Hizbolah na Israel kuliko Hamas na Israel wakati msingi wa Hizbola kushambulia Israel ni Vita ya Gaza
 
Bora waafrika tubaki na ujinga wetu ila amani amani, kuliko waarabu na teknolojia alaf vita Kila siku
ww una amani gan hapa Tanzania ? Kila siku tunaokota maiti na vijana wengi hawajulikan walipo mwezi wa pili sasa , vita hujenga heshima kweny jamii , hata hao waarab watamaliza vita wataanza heshimiana na wataona umuhimuwa kusikilizana , Ulaya walipitia huko ndo leo unaona wanaish vile
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ndo vzr! Wamechoka kumsumbua Allah wao
 
We unaakili kweli!? Adui yako asambaratishe kila silaha uliyonayo mwisho wa siku unategemea nini, tena mbaya zaidi anazishambulia silaha zako huku anakuja nyumbani kwako anakuja kufanya nini!? Waarabu tu hawajitambui kabisa
ww ccmu umeichukulia hatua gan kuteka raia ?
 
View attachment 3174133
Hapo njia pekee ya Hizbu kupokea silaha kwa wingi ilikuwa ni Syria. Yahudi kakata mfumo mzima. Baada ya muda Hizbu na Hamas hawatakuwa na uwezo mkubwa kuipiga Israel kwa maroketi kama sasa.

Ndani ya miaka minne ijayo Iran hawez kubaki salama.
1. Amebaki peke yake, hana nguvu ya usaidiz wa taifa mashariki ya kati zaidi ya makundi ya wapiganaji
2. Anaweza kutafutiwa sababu, mfano mpango wa kumuua Trump. Atahusishwa na huo mpango kisha USA akamvaa mwenyewe. Kwamba anafadhili magaidi😎
3. Kuibuka kwa vikundi vya waasi kama ilivyokuwa Syria vikisaidiwa na USA na Israel. Hii itaondoa msuguano wa moja kwa moja na USA na Israel
4. Yahudi kukabiliana nae ana kwa ana, japo hili lina nafasi ndogo kwa sababu za kiusalama kwa Mazayuni.

USA ana nguvu Iraq, kaikamata Syria, Saudia, Qatar, UAE, Yordani na wengine. Ndio maana Iran baada ya kukusanya taarifa za kiintelijensia aliachana na AHADI UKWELI YA 3 - TRUE PROMISE 3 na kuwaacha mashabiki wake macho na midomo wazi. Anajua the next stop ni yeye. Hili la Syria halijaja kama mshtuko, intelijensia zilikuwa zinajua, hata Assad. Ndio maana alijiondoa mapema.
Usalama atafute bomu la nuclear!
 
Na tatizo hataki kubalance .. source zake ni za upande mmoja.. hajui kwenye dunia ya sasa. Watoa habari wengi wako Bias.. ila angeamua kuacha mahaba angejua shida iko wapi..

Anachokifanya israel sio kwamba watu wanakifurahia ila bado haiondoi pia ukweli kuwa Iran na washirika wake nao ni sehemu ya tatizo.. Iran anawatumia wapalestina tu hana nia ya dhati ya kuwapa nchi..

Mwenye nia ya dhati angewekeza kwenye njia tofauti mfano njia ya diolomasia kwa kuanza kuhakikisha kuwa wanabadili mtazamo wa kijihad.. haiwezekani muwe na slogan ya "death to all jews" then utegemee hao Jews nao waonyeshe uungwana

Iran ndio karata yake kuwajaza wapelestina itikadi za kijihad kuwa lazima Israel Ifutwe kwenye uso wa dunia kama kweli Ayatolah ana msimamo mkali kwa kuitaka kuifuta israel kwa nini hakupeleka jeshi na kutumia vifaa vyake vyote kuisadia Hamas.. yaan kuhakikisha anaifuta Israel..

Kwa nini kusiwe na shida kati ya Jordan na Israel.. kwa nini imekuwa rahisi kwa cease fire ya Hizbolah na Israel kuliko Hamas na Israel wakati msingi wa Hizbola kushambulia Israel ni Vita ya Gaza

Mkuu Fredwash,

Huu mgogoro una narratives nyingi mno, unaweza kuuangalia katika lensi mbali mbali, lakini kuna facts za kihistoria huwezi kuzifunika kabisa, kwa mtazamo wangu baadhi ya Waarabu wa Kipalestina wanajaribu kuupindisha uhalisia wa mgogoro!

Kwa Kusema Israel haina uhalali wa kuwepo hapo kabisa , na ni taifa pandikizi tu toka nchi za Ulaya magharibi si kweli kabisa, na kujenga ajenda ya kutaka kuiondoa na hata kuifuta chini ya jua, haitaisadia kabisa agenda ya Hamas/Wapelestina, na Iran imekuwa mpiga debe mkuu wa ajenda hiyo.

Kwa kifupi tu vita kwa sababu vinakaribia kwa sasa kusimama, lakini imekuwa na madhara makubwa mno kwa Wapelestina! Nini walichokipata hasa? Nimesoma leo kwen mtandao wa Telegram, kuna kiongozi wa Hamas amekiri katika vyombo vya Saudia, mashambulizi ya October 7 yamewaharibia pakubwa, hawana hakika ni njia ipi watumie tena katika mambano yao!

Vita kwa sasa vitasimama, Iran ikiwa imepoteza vibaya, gharama kubwa iliyotumia kusimamisha muhimili "Axis of resistance" umekwisha! Itabidi wajipange upya!
 
Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nchi hii imeshaoza kila mtu ana ndevu sasa
 
Huyo jamaa ana akili sana, siyo kila kitu kinasuluhishwa kwa vita.

Mipaka ya Syria inajulikana, aachane nao kwanza Syria itulie hilo litazungumzika.

Kupigana na Israel sasa hivi ni kuwatakia vifo visivyo vya lazima raia wake.
 
Mkuu Fredwash,

Huu mgogoro una narratives nyingi mno, unaweza kuuangalia katika lensi mbali mbali, lakini kuna facts za kihistoria huwezi kuzifunika kabisa, kwa mtazamo wangu baadhi ya Waarabu wa Kipalestina wanajaribu kuupindisha uhalisia wa mgogoro!

Kwa Kusema Israel haina uhalali wa kuwepo hapo kabisa , na ni taifa pandikizi tu toka nchi za Ulaya magharibi si kweli kabisa, na kujenga ajenda ya kutaka kuiondoa na hata kuifuta chini ya jua, haitaisadia kabisa agenda ya Hamas/Wapelestina, na Iran imekuwa mpiga debe mkuu wa ajenda hiyo.

Kwa kifupi tu vita kwa sababu vinakaribia kwa sasa kusimama, lakini imekuwa na madhara makubwa mno kwa Wapelestina! Nini walichokipata hasa? Nimesoma leo kwen mtandao wa Telegram, kuna kiongozi wa Hamas amekiri katika vyombo vya Saudia, mashambulizi ya October 7 yamewaharibia pakubwa, hawana hakika ni njia ipi watumie tena katika mambano yao!

Vita kwa sasa vitasimama, Iran ikiwa imepoteza vibaya, gharama kubwa iliyotumia kusimamisha muhimili "Axis of resistance" umekwisha! Itabidi wajipange upya!
Nakubaliana na wewe ndio maana nikasema Iran na proxy wake hawana nia ya dhati ya kuisaidia Palestina

Wanatumia mgogoro wa palestina na Israel kama kivuli cha kuweza kutumiza
Ajenda zao..

Na ndio maana hata ukisikiliza kauli za nchi zingine za kiarabu jordan na Saudi arabia utaona ni kuwa wanakemea kinachoendelea pale gaza ila wanajua kuwa Nyuma ya pazia Iran walichofanya..

Bahat mbaya kwa zaidia ya miaka 20 wapalesrina wamekuwa wakitumika kihivyo.. ukitaka kujua kuwa wenyewe kwa wenyewe itikadi hazifanani ndio maana wamegawanyika Kina Abbas wako west bank, Huku Gaza ndio wamebaki Hamas

Njia ya kwanza kupata suluhu ya palestina ni wapalestina kujiondoa na itikadi za hamas, huwez kutafuta suluhu huku moja ya nia yenu kama
Tasisi ni kuifuta israel kwenye uso wa dunia tena mkihusisha hiyo nia kuwa ni maagizo ya dini.. unategemea huyo adui naye atafanya nini .. jordan nao si waislam kwa nini wao wasiwe na nia ya kuifut israel kama dini inavyoagiza
 
Kumekucha…
Ritz
Al Joulani ni Myahudi aka Mosad..usiteseke Syria ndiyo imeshaondoka

20241213_083508.jpg
 
Back
Top Bottom