Kiongozi mpya wa Iran amejeruhiwa na kuna uwezekano kalemazwa.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
17,999
Reaction score
21,560
Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa kulemazwa sura." "Baba yake amekufa, anaogopa.

Amejeruhiwa, anakimbia na hana uhalali wa kuongoza," Hegseth aliongeza.

Wenye uhalali wa kuongoza ni wao mashetani ya kizungu?au
 
Vita iishe tu,tunao umia ni sisi huku third world countries.
 
Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa kulemazwa sura." "Baba yake amekufa, anaogopa.

Amejeruhiwa, anakimbia na hana uhalali wa kuongoza," Hegseth aliongeza.

Mbona alijeruhiwa toka siku ya kwanza? Maana alipokufa baba yake alipoteza pia mama, Dada na mtoto wa dadake.

So hata kabla ya kuteuliwa kuwa Grand Ayatollah alikua majeraha. Ila hii habari ulivyoiweka ni kama vile amejeruhiwa baada ya kupewa Ayatollah.
 
Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?
Hata mm n mwislamu.
Point yangu n kobaz wanapinga Yale yanayowaumiza Hata kama n ya kweli.

N mara ngapi kobaz wanasema Iran hawezi kupigwa na wanajaza mada kibao, Sasa hv wanageuza maneno
 
196.jpg

Bado sijakufa😁😁
 
Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?

Acha uongo wewe. Kwa Nini unapenda danganya watu bwana Abdallah? Dullar lini umekuwa mkristo? Na huwa unakuja msikitini kuhubiri?
 
Humu Kuna watu wajinga sana aisee.
Mimi pia ni Mkristo lakini napinga mabaya yote ya USA na Israel

Ha ha ha... Lini ume silimu? Wengi mnajifanya wakristo wa uongo. Mnapendea nini kujiita Makafir?
 
Back
Top Bottom