Wenye uhalali wa kuongoza ni wao mashetani ya kizungu?auKiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa kulemazwa sura." "Baba yake amekufa, anaogopa.
Amejeruhiwa, anakimbia na hana uhalali wa kuongoza," Hegseth aliongeza.
Iran’s new leader ‘wounded and likely disfigured,’ Hegseth says in latest Pentagon briefing
stories.apexnews-af.com
It was inevitable....Trump's war of choice.
Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?Ngoja makobaz waje wapake kinyesi rangi ya dhahabu 😂
Mbona alijeruhiwa toka siku ya kwanza? Maana alipokufa baba yake alipoteza pia mama, Dada na mtoto wa dadake.Kiongozi mpya wa Irani "amejeruhiwa na kuna uwezekano kulemazwa," Hegseth amesema katika mkutano wa hivi punde wa Pentagon.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Pete Hegseth alianza mkutano wake na Pentagon Ijumaa akisema kiongozi mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei "amejeruhiwa na kuna uwezekano wa kulemazwa sura." "Baba yake amekufa, anaogopa.
Amejeruhiwa, anakimbia na hana uhalali wa kuongoza," Hegseth aliongeza.
Iran’s new leader ‘wounded and likely disfigured,’ Hegseth says in latest Pentagon briefing
stories.apexnews-af.com
Hata mm n mwislamu.Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?
It was avoidable of course, Trump escalated matters, maybe diverting from his own internal mattersIt was inevitable....
Ukiona hii vita mtu yoyote anaishabikia kidini jua huyo ni mpumbavu wa mwisho USA kwanini anavamia nchi za watu mtu yoyote anayepiga uonevu hawezi kusimama na Israel wala USAMbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?
Humu Kuna watu wajinga sana aisee.Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?
Uongozi hawapewi magaidiWenye uhalali wa kuongoza ni wao mashetani ya kizungu?au
Sawa mpewe nyie mashoga sio mbaya, Trump amewapa ahadi ya kuwalindi mashoga wenzieUongozi hawapewi magaidi
Mbona mie mkristo ila napinga uhuni wa Israel na US. Why hili suala mnaliweka kidini?
Humu Kuna watu wajinga sana aisee.
Mimi pia ni Mkristo lakini napinga mabaya yote ya USA na Israel
Punguza utoto we dogo, I'm not ur class. Argue with your fellow douchebags,Acha uongo wewe. Kwa Nini unapenda danganya watu bwana Abdallah? Dullar lini umekuwa mkristo? Na huwa unakuja msikitini kuhubiri?