October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Alfajiri ya leo kiongozi msaidizi wa kikundi cha Redcross 26 amekamatwa akiwa mafichoni katika Ranchi bubu binafsi iliyopo Kongwa. Baada ya upekenyuzi wa hali ya juu ulioendeshwa na wabobevu, watabe, mabingwa, watu kazi waliopewa kazi. Wamemkamata akiwa kwenye kota za ranchi hiyo. Ameshikiliwa. Walahi atasema wengine ni kina nani. Hasa kiongozi wao ambaye bado hajafahamika hata jina lake. Mpaka jioni huyu atakuwa ametema bungo na kueleza kila kitu. Mipango ya surprise waliyopanga kuanzia siku ya kesho jioni itakuwa imeota mbawa. Maskini... Huo ndio mkono mlefu. Na bado!
Zamu yao!
Zamu yao!