Kiongozi msaidizi wa Redcross 26 amekamatwa akiwa mafichoni

Kidampa wa mafisadi jitahidi kumeza Olanzapine zako unakoelekea sio kuzuri.

Nakukumbusha kabla ya kupanda jukwaani hakikisha umemeza dawa zako.
 
CCM ina hali ngumu sana, nasikia Abdul amekonda kisa mawazo...
Kuna voice notes za hackers wa TISS zinazunguka huko mitandaoni...
Mwaka huu ccm kazi wanayo..
 
Alfajiri ya leo kiongozi msaidizi wa kikundi cha Redcross 26 amekamatwa akiwa mafichoni katika Ranchi bubu binafsi iliyopo Kongwa. Baada ya upekenyuzi wa hali ya juu ulioendeshwa na wabobevu, watabe, mabingwa, watu kazi waliopewa kazi. Wamemkamata akiwa kwenye kota za ranchi hiyo. Ameshikiliwa. Walahi atasema wengine ni kina nani. Hasa kiongozi wao ambaye bado hajafahamika hata jina lake. Mpaka jioni huyu atakuwa ametema bungo na kueleza kila kitu. Mipango ya surprise waliyopanga kuanzia siku ya kesho jioni itakuwa imeota mbawa. Maskini... Huo ndio mkono mlefu. Na bado!
Zamu yao!
Hakikisha unafanya haya yote na unaingiza Tsh 5M .Usije kuwa unaandika haya huku watoto wako hawasomi shule nzuri na wadogo zako hawana ajira.Hakikisha huwi kubaraka wa Watawala kama ilivyo kuwa Kwa mkoroni hali wewe inahitaji ukombozi pia
 
Na bado
 
Ndiyo huyu ulokuwa unamsema?
Yani huyu ndo Deputy wa Redcross 26?😀

  • Kicheko
Reactions: naa
Back
Top Bottom