johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa kuwa Kesi ni ya Michongo......Wenyewe walisema kesi alimaliza Swila, hakuna kesi hapo Sasa imekuwaje wanahangaika kumtetea?
Chadema wote ni wajingaa sana ,mm niliwaambia sana wasifurahie kifo cha JPM bila kujua kwanza kama kauliwa au la, maana ikiwa kauliwa wajue kuwa watapitia kwenye mambo mabaya maana walio usika kwenye hilo tukio awawezi kukubali katiba mpya wala kitu chochote kinachoweza kuatarisha usalama wao na familia zao kwenye hiyo soft mapinduziHuyo Magu ndio kituvo cha huu uovu unaoendelea leo hii.
Magufuli naye alikaa meza moja na Mbowe Mwanza kwenye uwanja wa CCM kwenye ufunguzi wa sherehe za kitaifa. Hapo vipi?Kufurahia kufa kwa shetani mmoja siyo ujinga, mashetani wengine wanaunafuu hata wanakubali kuketi meza moja na malaika ishara kuwa ipo siku watakujakubadilika na kuongea lugha moja na malaika.
[emoji120]Haya bhana!Kufurahia kufa kwa shetani mmoja siyo ujinga, mashetani wengine wanaunafuu hata wanakubali kuketi meza moja na malaika ishara kuwa ipo siku watakujakubadilika na kuongea lugha moja na malaika.
Swilla alimwaga mbogaWenyewe walisema kesi alimaliza Swila, hakuna kesi hapo Sasa imekuwaje wanahangaika kumtetea?
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.
Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna za Wanasiasa wenye ngozi nyeusi.
Mzee huyo amedai ilikuwa ngumu sana mzee Mkapa kumtetea Mahalu ila alipomaliza aliwapa wosia mzito.
akili ndogoWenyewe walisema kesi alimaliza Swila, hakuna kesi hapo Sasa imekuwaje wanahangaika kumtetea?
Ngoja PK atoe baraka zake kwanza!Mtaje sasa !!!