Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi sana wewe, tumpongeze dikteta wa kike anayejifanya mchamungu kwa mavazi ila roho ya kishetaniAende tuu mbona kuna mabalozi lundo toka mwanzo,ndio uhuru wa mahakama huo,Samia apewe hongera zake.
Mamlaka kumfunga Sabaya ni kumsaidia na kumlinda maana mtaani sidhani kama angedumu[emoji120]Haya bhana!
[emoji871]Mlipewa Sabaya na akachukuwa Mbowe.
[emoji871]Mmepewa mazungumzo, Mbowe amepata kesi ya kujibu.
[emoji871]Mama anajua kucheza na akili zenu.
[emoji871]Halafu muda kidogo huko mbele Sabaya atapata msamaha.
Kuna tawi moja la CCM liko upande wa Chadema.Naskia na chadema nao wanayemtu kutukoa Airtel na Tigo
Hapo sasa
Mashahidi wa Mbowe watathibitisha mpasuko uliopo nchi hiiKuna tawi moja la CCM liko upande wa Chadema.
Hapo ndio ugumu unapokuja!
[emoji871]Kina Adamoo walikwisha kamatwa na wako ndani wao na Bosi wa mipango yote Mbowe.Mamlaka kumfunga Sabaya ni kumsaidia na kumlinda maana mtaani sidhani kama angedumu
Inaelekea una habari na uko well informed. Unafaa sana kuisaidia Jamhuri kutekeleza jukumu la kuiweka jamii kwenye mstari!![emoji871]Kina Adamoo walikwisha kamatwa na wako ndani wao na Bosi wa mipango yote Mbowe.
[emoji871]Nani tena angemdhuru Sabaya huko uraiani?
[emoji871]Kesi ya Sabaya ni mpango wa Mbowe na mkwe wake yule DPP Kweka.
[emoji871]Engineer wa yoote ni Hamduni.
[emoji871]Mmetuulia mama yetu Mghwira kwa Pressure ya njama za kumfunga Sabaya na kumchafua yeye kwa Samia
[emoji871]Wacha Mwamba nae ajue maana ya nipe nikupe.
Kwa ujla, hiyo inayoitwa mihimili ni idara za Rais, ndiyo maana watendaji wake wakuu wote anawateua yeye.Mahakama ya Tanzania Haina ubavu wa kumuita raisi aliyeko madarakani kizimbani narudia tena Haina ubavu huo.
Raisi ni muhimili uliojichimbia sana kuliko yote.
Hii mihimili mingine Bunge/Mahakama ni vivuli tu vya Serikali.
Ndio maana Serikali ikisikia neno"katiba Mpya" inashikwa na tumbo la kuendesha!
There will be no more case........Swilla alimwaga mboga
Mbowe anaenda kuumwaga ugali wenyewe kabisa
Kisha kesi inatupiliwa mbali.
Magu ndio aliamuru Mbowe akamatwe?Huyo Magu ndio kituvo cha huu uovu unaoendelea leo hii.
Mbowe ana kesi ya ugaidi acha kupotosha wenzako.Africa tabu sana...siasa za Africa ni za kuumiza wapinzani. Rais wa Zambia alifungwa miaka 6 na Edgar Rungu kwa kesi ya uhujumu uchumi kama hii ya Mbowe
Mbona unakiwa na mambo ya kike kwa kuongeza mafumbo,so useme tu kuwa Ni CHENGEKiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.
Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna za Wanasiasa wenye ngozi nyeusi.
Mzee huyo amedai ilikuwa ngumu sana mzee Mkapa kumtetea Mahalu ila alipomaliza aliwapa wosia mzito.