State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n jeshi la Israel (IDF[emoji1134]) iliyofanyika katika kambi ya wakimbizi Nuseirat iliyopp gaza mbayo imepelekea vifo vya wapalestina 210 na kuacha majerui 420, ambapo mateka 4 wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na Hamas wefanikiwa kuokolewa.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel
Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel
Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.