Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Unateseka ukiwa wapi..🤷🤷🤷
Nipo mjini na kula bata kama kawaida we tulizana uone taifa teule likikata roho leo huko Hezbullah kawasha moto yani furaha ya kukomboa matekwa 4 na kuwauwa 4 na askari 10 si ujinga hu.
 
Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga😄
Israel wanatembeza kichapo tu wapale wengi wamewahi ahera mpaka sasa. Jamaa wanagonga kila sehemu. Dunia iingilie hawa Israel wameshindikana. Ni mateka tu au walikuwa wanatafuta sababu?
 
What are American soldiers doing in Israel?
U.S. special operations forces are stationed in Israel and “actively helping the Israelis” in a number of areas, among them efforts to “identify hostages, including American hostages,” a Department of Defense official
Bro. American soldiers are found in many countries in the world-including Tanzania. So why are you worried about their presence in Israel? They were there even before the onset of the war.
Again, if there are American hostages held by HAMAS group, then that by itself is an excellent justification for the US Special Operations forces to actively participate in the efforts to rescue them.
 
Kamanda wa Hamas mjanja sana... Kaona ajiwahie zake mabikra 72 mapema kabisa awaache vijana wengine wa kigaidi wakiteseka msako mkali wa sako kwa bako to the hell 🔥
 
Bro. American soldiers are found in many countries in the world-including Tanzania. So why are you worried about their presence in Israel? They were there even before the onset of the war.
Again, if there are American hostages held by HAMAS group, then that by itself is an excellent justification for the US Special Operations forces to actively participate in the efforts to rescue them.

Before the war , there was no a single US soldirer in Gaza , DONT LIE

, usidanganye
 
Nipo mjini na kula bata kama kawaida we tulizana uone taifa teule likikata roho leo huko Hezbullah kawasha moto yani furaha ya kukomboa matekwa 4 na kuwauwa 4 na askari 10 si ujinga hu.
Akili za Ki Alah Allah.. Hebu tutajie hao Askari 10 wa IDF waliopoteza Uhai... au ndio unajipooza na machungu hahahaha Allah kazabwa Kibao IDF imekili kupoteza Mjeshi mmoja tu kwa maumivu ya majeruhi... kadanganye Watoto Madrassa Mr. Taqiyya boy labda 9 ni Maswahaba wa Mtume wenu

1717871854514.png

Yamam commander fell in hostage rescue operation

Halafu eti wanajifanya sizi faya wahuni sana hawajamaa wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa. Lakini nachowapendea Hamasi hii ngoma haitakwisha hivi hivi wakiisha mateka watachukua wengine na mzunguko utaendelea, hakuna amani kwenye chuma. Chuma dawa yake ni chuma.
Nanukuu kisehemu hiki: '.....wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa".
Kauli kama hizi 👆 👆 👆 zinadhihirisha akili za Watu wasiothamini watu wao(Raia). Ni tofauti kabisa kwa Myahudi. Myahudi mmoja ana thamani kubwa mno kuliko mnavyolichukulia nyie. Ndo mana kama hamkulijua hilo, basi lijueni sasa na chukueni hatua - vinginevyo Myahudi ni kweli yuko radhi Gaza nzima wafe kwa ajili ya kuwaokoa watu 120 Waisrael.
 
Hizi Video tulishazijibu kwa hao wenyewe waliozipost huko kenya walitamani kuzifuta lakini imeshindikana... Hawa ndio viongozi wa Waislam walioshibika na dini yao ila wanachoongea ni uharo.. Hawajui hata nini maana ya kanisa! wanadhani kanisa ni jengo.. Kanisa maana yake ni Kutanyiko la watu Yesu alisema mnapokuwa hata wawili mkalitaja jina langu basi nami nakuwa kati yenu,

And Neno msikiti katika uislam ni aibu kulisikia waislam fuatilieni mjijue kuwa nyie ni wapagani

Nendeni mkasome Comment za original video hii ili muone aibu mje kuifuta na huku maana majibu yake yanauchafua uislam directly
 
Anayetengeneza Video za Waislam huwa ni Standard 7 au la tatu B Video inaweza chukua muda and inaonesha uharo tu.. na ujinga anayezileta naye ni urojo
Kwa kweli hawa watu wanadhani wasomaji humu Jamvini wote wanatokea madrasa tul Yasin. Video ya kuedit au kuunga-unga na haina mantiki yoyote halafu wanasema hiko ndo kichapo. Bullshit. :KEKBye:
 
Hizi Video tulishazijibu kwa hao wenyewe waliozipost huko kenya walitamani kuzifuta lakini imeshindikana... Hawa ndio viongozi wa Waislam walioshibika na dini yao ila wanachoongea ni uharo.. Hawajui hata nini maana ya kanisa! wanadhani kanisa ni jengo.. Kanisa maana yake ni Kutanyiko la watu Yesu alisema mnapokuwa hata wawili mkalitaja jina langu basi nami nakuwa kati yenu,

And Neno msikiti katika uislam ni aibu kulisikia waislam fuatilieni mjijue kuwa nyie ni wapagani

Nendeni mkasome Comment za original video hii ili muone aibu mje kuifuta na huku maana majibu yake yanauchafua uislam directly

Umeshindwa kitu gani kunijibu mimi, povu jingi

ongeza na hii usitoke mapovu

View: https://www.youtube.com/watch?v=yeqdjGleqNQ
 
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n jeshi la Israel (IDF[emoji1134]) iliyofanyika katika kambi ya wakimbizi Nuseirat iliyopp gaza mbayo imepelekea vifo vya wapalestina 210 na kuacha majerui 420, ambapo mateka 4 wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na Hamas wefanikiwa kuokolewa.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel

Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.
Duh!....
 
Bro. American soldiers are found in many countries in the world-including Tanzania. So why are you worried about their presence in Israel? They were there even before the onset of the war.
Again, if there are American hostages held by HAMAS group, then that by itself is an excellent justification for the US Special Operations forces to actively participate in the efforts to rescue them.
I find your argument to be lacking in any nuanced Israel has been entirely equipped by the USA since the second half of the past century.

No war Israel entered and could have won without the USA.
 
Back
Top Bottom