Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga😄
God Bless Israel
 
Halafu eti wanajifanya sizi faya wahuni sana hawajamaa wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa. Lakini nachowapendea Hamasi hii ngoma haitakwisha hivi hivi wakiisha mateka watachukua wengine na mzunguko utaendelea, hakuna amani kwenye chuma. Chuma dawa yake ni chuma.
Washauri Hamas wasijifiche kwa raia. Huyo kiongozi wa Hamas alikua anafanya nini kambi ya wakimbizi.
 
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n jeshi la Israel (IDF[emoji1134]) iliyofanyika katika kambi ya wakimbizi Nuseirat iliyopp gaza mbayo imepelekea vifo vya wapalestina 210 na kuacha majerui 420, ambapo mateka 4 wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na Hamas wefanikiwa kuokolewa.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel

Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.
Kuna huyu sheitwani yahya sinwar IDF wakimuua huyu itakuwa jambo la maana sana
 
Mtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.

Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile [emoji1]
Roho imekuuma sana magaidi wenzako kuuliwa,na Tutaendelea kuwaua kikatili hadi muishe wote
 
Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga[emoji1]
Wewe ulitakaje mbwa Koko wewe?
Nenda na wewe Gaza
 
Roho imekuuma sana magaidi wenzako kuuliwa,na Tutaendelea kuwaua kikatili hadi muishe wote
Kufa ni kawaida wewe jeshi la Pampers limetumia gari za misada na kuwatumia badhi ya mafala wa kipalestine, sisi tunawaita makhaini na pia jeshi la America yote hayo kukomboa raia 4 nawamekufa wengine 4 katika matekwa wao, na 10 wanajeshi wao.

Walipo ona moto ikabidi jeshi la Pampers wawe wanapiga risasi hovyo hovyo kuwauwa raia pumbafu sana.

Hili ndio jeshi la kujisifia eti wamekomboa raia 4 katika 130 si ujinga huo.

Afu huyu Biden atuondolee ujinga wake mshenzi huyo hatutaki peace plan yake.
 
Ona kazi ya wavaa magauni ujinga wanaofanya kufyatua ma rocket launchers kwanini wasitandikwe sasa wajinga hawa sijui ugaidi unawasaidia nini..

Wavalizhwa Pampers hamlaumiki kwa kupenda mashoga
 
Back
Top Bottom