State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
God Bless IsraelMtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.
Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile 😄
Aisee! 👆 👆 Israel Wana hasira Sana. 👉Israel Wana ghadhabu kali Sana.👉 Israel Wana usongo sana dhidi ya HAMAS. Israel kawa Izraeli kweli kweli.Deif kaondoka na watu 210 duh!. Israel Wana hasira Sana.
Nyie huwa hamkosagi visingizio hata siku moja? eti kuna wamarekani, kuna Waarabu wanafiki na blaa blaa nyingi.Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matejwa wanne mmoja kafa😄
Jeshi la America ndio walio sema wamefanya operation kwa kuwasaidia jeshi la Israel, we unadhani hakuna wapalestine wanafiki wanawapa infomation America na Israel.Nyie huwa hamkosagi visingizio hata siku moja? eti kuna wamarekani, kuna Waarabu wanafiki na blaa blaa nyingi.
Akifa anaenda kutafuna bikra 72 peponiMtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.
Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile 😄
Ila wala bikra 72 peponi pia wamekufa?Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga😄
Sijaona Taarifa hiyo ya Jeshi la America na mahali Israeli alipokiri hayo.Jeshi la America ndio walio sema wamefanya operation kwa kuwasaidia jeshi la Israel, we unadhani hakuna wapalestine wanafiki wanawapa infomation America na Israel.
We akili zako kweli bogo Israel mwenyewe amekiri hayo afu we unabisha.
What are American soldiers doing in Israel?Sijaona Taarifa hiyo ya Jeshi la America na mahali Israeli alipokiri hayo.
Nakubali kwamba inawezekana kabisa wapo Waplestina wanafiki ila ww ulisema Waarabu - Je, kila mwarabu ni Mpalestina?
Halafu eti wanajifanya sizi faya wahuni sana hawajamaa wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa. Lakini nachowapendea Hamasi hii ngoma haitakwisha hivi hivi wakiisha mateka watachukua wengine na mzunguko utaendelea, hakuna amani kwenye chuma. Chuma dawa yake ni chuma.What are American soldiers doing in Israel?
U.S. special operations forces are stationed in Israel and “actively helping the Israelis” in a number of areas, among them efforts to “identify hostages, including American hostages,” a Department of Defense official
Haha hio nyimbo mtaisubiri sana kufa ni Amri ya Mungu tu, ikifika siku yake kufa hata kama amelala atakufa tu lakini eti jeshi la Pampers wamsogele sidhani
Associated risk....Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga😄