Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hizo ni ndoto msikie huyu msichana wa kingeteza anasema nini kuhusu kufanikiwa kuokoa hao hostages 4, je akilini mwako watafanikiwa kucheza hivi sidhani.Askari akifa vitani ni jambo la kawaida . Hata wangeokoa raia mmoja wakafa kumi bado ni jambo la kawaida kwenye vita. Unatakiwa kujua thamani ya raia 1. Kumbuka raia 210 wamesababisha zaidi ya waelfu ya wanajeshi kupelekwa front line.
Mwanajeshi anaeenda vitani kuna mawili kufa au kuua kwa ajili ya ushindi. Ndo maana kwenye vita akifa raia ni kosa na hata uchunguzi unaweza fanyika.
Tusishabikie hii vita . Ujinga wa Hamas na wanao washabikia umefharimu wasio na hatia. Hakuna ushindi wowote wanao upata hapa. Wamepoteza kila kitu. Tusidanganyane hapa. Waachie mateka wote kusitisha vifo vya watu wasio na hatia.
Pia wasitumie raia kama ngao ya kujikinga kwani wanapelekea mauaji. Wanachofanya wanapoteza musa na kusogeza tarehe za misiba mbele lakini watafikiwa
Usaidizi wa USA kujidai anapeleka msada umeisha julikana na wanafahamu wazi hawawezi tena kufanikiwa kuokoa mtekwa kwa njia walio tumia, kwa walio baki isipokuwa kwa masharti ya Hamasi.
Kama unajua umuhimu wa raia we unataka maisha yako Israel auwe wa Palestine bila makosa yoyote yale, na Hamasi kuingia Ihilo taifa la srael mlio pewa na uingereza kwa kudhukumu wa Palestine ni kosa, hapo ndio mnatuonyesha ujinga wenu.
View: https://youtu.be/ttPlOIqttsc?si=pAT9bMOoKBvVNyAd