Hizo ni kelele za Israel sababu anachuki na Al Jazeera, hakuna nchi inaweza kutoa dalili kweli huyo ni Hamasi.
Inatosha huyo matekwa wa Israel wa kike amethibitisha ulimwenguni Hamasi hatesi matekwa, katoka hata nyusi zake kachonga, amependeza, alikuwa akienda madukani kawaida umesikia interview yake anawasifia Hamasi wamemuokoa mara chungu nzima alikuwa afe kwa namna dege za Israel zikirusha maboom kwenye nyumba alio wekwa aishi,amesema hakuwahi kwenda kwenye tunnels.
Wambie Israel watuonyeshe matekwa wa Palestine, utakuta kavunjwa mkono, kakatwa sikio, kachomwa mwili mzima hilo ndio taifa teule au taifa la shetani.
Tukiwambia ukristo ni ulevi mnabisha 😄