Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Wewe tafsiri unavojua ila marekani ndo kaingilia kati kuwasaidia wavaa pampas.
Sawa. Tusubiri Mwisho wa siku kitaeleweka ni nani aliyevaa pampas au nani aliyevikwa pampas. Hizo kobasi bado kidogo zitakuwa ni nzito kwenu.
 
We hivi unaijua Gaza vizuri Hamasi wangekuwa wanaishi kwenye nyumba za raia Israel angeisha shinda vita zamani, inatosha wale wafuasi wa Abbas wangeisha waonyesha wa Israel zamani.

Pili Hamasi ataweka wapi silaha zake au Missiles zake kwenye majumba, hivi we akilini kwako Hamasi wanaishi kwenye majumba ya civilian? Labda uwe haupo sawa kichwani kwako.

Kuna matekwa Hamasi kawasambaza Gaza ili wakifanikiwa kuokoa badhi wengine wasifanikiwe hawezi kuwaweka wote sehemu moja.

We unadhani Hamasi wajinga vile wawachukue matekwa wakaishi nao lazima wawatafutie sehemu tofouti na wanao ishi wao.
Mkuu, Hivi unajua kwamba katika vita, Mateka (POW) ni mtu muhimu sana na kawaida wanahifadhiwa kwenye ngome madhubuti ? Nyumba za wakimbizi ni duni, dhaifu na hazina thamani kiasi kwamba haziwezi kutumika kama mbadala wa ngome. Wakimbizi ni raia na Nyumba za wakimbizi pia ni za kiraia ndo mana zinaitwa kambi za wakimbizi.
Kwa hali hiyo uliyosema eti HAMAS wanawatawanya na kuwasambaza mateka Gaza; ni dhahiri kwamba sasa HAMAS imeshanyong'onyeshwa mno (severly weakened) na wamedorora hadi wamepoteza ile hadhi waliyokuwa nayo awali kiasi cha kuwa sasa wanastahili kuitwa ni Genge la wenye silaha
 
Mimi mvaa rozari kama wewe ila najitambua nasimamia nini?
Mkuu; Kama ndo hivo unashindwaje kuona ni aina gani ya vita au mapigano wanayotumia hao wanaodai wanaipigania HAKI yao i.e. Kuikomboa Ardhi walioporwa? Mapigano yao yamekaa kihuni-huni hayana utaratibu wanawahusisha na wasiojua mambo ya jeshi na wanaingiza Udini kwa nguvu ili kupata kuungwa mkono? e.g.
1. Ardhi ya Palestina ina dini gani?
2. Wapiganaji hao hawataki watambulike kwa mavazi rasmi (Combat) bali wanavaa jinsi wanavyojisikia na kuwatumia raia kama ngao.
3. Wamtengeneza mahandaki(Tunnels) lakini milango ya kuingia imefichwa katika nyumba maalum za kutolea huduma za kijamii e.g. Hospitali, mashule/vyuo na Misikiti hakuna kwenye kanisa au sunagogi.
4. Wanakuwa ni wakatili hata kwa raia (Wapalestina)wao wenyewe e.g. huwazuia raia wasikimbie au kwenda maeneo salama simply kwa sababu ni maelekezo ya IDF na wanapora vyakula na vifaa tiba vinavyoletwa kama msaada kwa raia walioumia au wenye njaa kali.
5. Wanatanguliza uongo kujihami pale wanapokuwa wamefanya tukio ovu likajulikana e.g. walipowaua wa Tz walisema ni IDF wameua baadaye wakasema hao waTz walikuwa ni wanajeshi wa IDF etc.
6. Wanachanganya Udini katika mapambano yao e.g. Wanako kale kamwimbo kao "Taqubiiirr, Allahu' Akbar" Mie huwa nasikia hiyo "Allahu Akbar" wakati wa Adhana saa 7 mchana kiongozi akiwaalika waumini wa Kiislam kwenda kuswali. Sasa inapotamkwa katika mapambano maana yake nini?
 
Hakuna Shekhe anaitwa Maulana sijawahi sikia, sana sana wako viongozi wa nchi ndio wanaitwa vile kama mfalme wa Morocco au Oman hicho ni cheo cha uongozi wa nchi sio dini.

Tena hata hao wafalme kuna watu hawapendi waitwe vile, sababu kinatumiwa kwa mfalme wa wafalme tu ambaye ni Mungu peke yake.

Kwanza huyo kakaa kama mchezaji disco tu, hata maongezi yake anaonyesha ni Pro Western, anatumiwa kuongea ujinga kwa jina la Uislam kama walivyo watumia ISIS
Wakitoa daawa mnawakana
Wakifanya fujo ugenini ndugu zenu
 
Mkuu; Kama ndo hivo unashindwaje kuona ni aina gani ya vita au mapigano wanayotumia hao wanaodai wanaipigania HAKI yao i.e. Kuikomboa Ardhi walioporwa? Mapigano yao yamekaa kihuni-huni hayana utaratibu wanawahusisha na wasiojua mambo ya jeshi na wanaingiza Udini kwa nguvu ili kupata kuungwa mkono? e.g.
1. Ardhi ya Palestina ina dini gani?
2. Wapiganaji hao hawataki watambulike kwa mavazi rasmi (Combat) bali wanavaa jinsi wanavyojisikia na kuwatumia raia kama ngao.
3. Wamtengeneza mahandaki(Tunnels) lakini milango ya kuingia imefichwa katika nyumba maalum za kutolea huduma za kijamii e.g. Hospitali, mashule/vyuo na Misikiti hakuna kwenye kanisa au sunagogi.
4. Wanakuwa ni wakatili hata kwa raia (Wapalestina)wao wenyewe e.g. huwazuia raia wasikimbie au kwenda maeneo salama simply kwa sababu ni maelekezo ya IDF na wanapora vyakula na vifaa tiba vinavyoletwa kama msaada kwa raia walioumia au wenye njaa kali.
5. Wanatanguliza uongo kujihami pale wanapokuwa wamefanya tukio ovu likajulikana e.g. walipowaua wa Tz walisema ni IDF wameua baadaye wakasema hao waTz walikuwa ni wanajeshi wa IDF etc.
6. Wanachanganya Udini katika mapambano yao e.g. Wanako kale kamwimbo kao "Taqubiiirr, Allahu' Akbar" Mie huwa nasikia hiyo "Allahu Akbar" wakati wa Adhana saa 7 mchana kiongozi akiwaalika waumini wa Kiislam kwenda kuswali. Sasa inapotamkwa katika mapambano maana yake nini?
Kuchanganya kwao dini siwezi kuingilia maana hata waisraeli nao husema kuwa ardhi hiyo ilikua yao miaka 3000 iliyopita kulingana na vitabu vyao vya dini.
Aidha mbinu wanazotumia wapalestina kupigana pia siwezi kuzipinga maana vitani huwezi kuwa na chaguo la silaha au mbinu hasa unapokua mnyonge kama wapalestina.

Mwisho kabisa mimi naungana na marehemu mwalimu Nyerere na mzee Nelson Mandela katika kuwaunga mkono wapalestine kupata taifa lao huru.
 
Uko sahihi KABISA mkuu. Wapalestina ni Binadamu kama walivyo Binadamu wengine na wanayo haki ya kuishi hapa duniani na kuzifaidi mali na baraka katika nchi yao. Wanayo haki ya kutambuliwa na kuheshimika kama Taifa huru na sio Taifa lililo Uhamishoni i.e. hawana kwao.
Ninachokerwa juu yao esp. kundi la HAMAS, ni kule tu kutokutambua kwamba bado wanayo nafasi kubwa ya kufikia malengo yao ya kuwa ni Taifa tena Taifa huru na linalotambulika kimataifa kwa kutumia mbinu nyingine isiyokuwa ya kutumia njia ya kupambana kwa kutumia silaha - kijeshi. Njia ya kutumia silaha sikubaliani nayo kwani ukishajiingiza kwenye vita basi inakuwa kama ni Uraibu wako. Ukipata kachangamoto kidogo tu, tayari fasta ww utakimbilia kutumia nguvu ya silaha. Na uzoefu unaonesha haiwezekani ww uwe unawapiga wenzako tu, iko siku na ww utapigwa. Vita ni kitu kibaya mno.Vita husababisha hasara kubwa ya mali na kupoteza uhai. Hata ukishinda vita; Je, utatawala makaburi, magofu, watu waliojaa huzuni na watu waliopata ulemavu na vifusi? Vita ni Ubatili.
 
Yule Mtangazaji wa Al Jazeera ndio alikuwa Hamass?!
 
Yule Mtangazaji wa Al Jazeera ndio alikuwa Hamass?!
Hizo ni kelele za Israel sababu anachuki na Al Jazeera, hakuna nchi inaweza kutoa dalili kweli huyo ni Hamasi.

Inatosha huyo matekwa wa Israel wa kike amethibitisha ulimwenguni Hamasi hatesi matekwa, katoka hata nyusi zake kachonga, amependeza, alikuwa akienda madukani kawaida umesikia interview yake anawasifia Hamasi wamemuokoa mara chungu nzima alikuwa afe kwa namna dege za Israel zikirusha maboom kwenye nyumba alio wekwa aishi,amesema hakuwahi kwenda kwenye tunnels.

Wambie Israel watuonyeshe matekwa wa Palestine, utakuta kavunjwa mkono, kakatwa sikio, kachomwa mwili mzima hilo ndio taifa teule au taifa la shetani.

Tukiwambia ukristo ni ulevi mnabisha 😄
 
Acha maneno mengi huyu Gaidi anaitwa Abdala Aljamal ndie alikuwa amewaweka Mateka wasiokuwa na hatia Nyumbani kwake.

Mateka wamekombolewa na yeye kala Shaba.

Ni Mwandishi wa Aljazeera.
abdallah-aljamal-abdallah-aljamal-gaza-83535978.jpg

👆😁😁 Marehemu Gaidi amekula Shaba za kutosha.
 
Acha maneno mengi huyu Gaidi anaitwa Abdala Aljamal ndie alikuwa amewaweka Mateka wasiokuwa na hatia Nyumbani kwake.

Mateka wamekombolewa na yeye kala Shaba.

Ni Mwandishi wa Aljazeera.
View attachment 3014554
👆😁😁 Marehemu Gaidi amekula Shaba za kutosha.
Yani wewe mtu akodishe nyumba yako au apartment kwako kama ni mwanajeshi, basi na wewe umekuwa mwanajeshi 😄

Akili zingine zinatakiwa zikapimwe vizuri kama huwa zinafunction vizuri
 
Yani wewe mtu akodishe nyumba yako au apartment kwako kama ni mwanajeshi, basi na wewe umekuwa mwanajeshi 😄

Akili zingine zinatakiwa zikapimwe vizuri kama huwa zinafunction vizuri
Alikodisha Nyumba ulikuwa nae?!
 
Alikodisha Nyumba ulikuwa nae?!
We akili zako fyatu kweli we una sema huyo aliwaweka matekwa kwake, we una dalili gani yeye aliwaweka hao matekwa yeye?
Hamasi kukodi nyumba kwake atawajua vipi wale ni wapiganaji wa Hamasi 💯 kwa hio pale Gaza kila anaye kodisha nyumba yake ni Hamasi 😄
 
Yani unataka kunionyesha una maisha mazuri kwa kupiga screen shot vyakula vya watu, we kweli njaa nimeamini.

Unasikia wewe sister hakuna hadithi zanamna hio mtume akaongea matusi eti anaye tukana anajambiwa na shetani hahaha 😆

Ungesema labda Usitukamne pale uko kwenye hamaki, au usitukane watu, au ukihamaki katawadhe sababu hamaki huwa inatokana na shetani hapo ningesema hizo kweli hadith za Mtume.

Lazima ufahamu Mtume Muhammad alikuwa hakeri watu, hatukani daima maneno yalikuwa mazuri na mwenye sifa nzuri huyo ndio Mtume Muhammad.
Tatizo ni kukaririshwa Kwa bakora za makalio madrasa!
Kwa Mujibu wa uislamu Sifa nzuri ni kupinga Amri.10 za MWENYEZI MUNGU kama alivyo Fanya Muhammad aka allah!
Hadi amemuita Mwenyezi Mungu, Malaika Gabriel, Yesu Wanakufuru/ makafiri!🙄😜
👇👇
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

(AT-TAWBA - 30)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Back
Top Bottom