Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Hizo ni ndoto msikie huyu msichana wa kingeteza anasema nini kuhusu kufanikiwa kuokoa hao hostages 4, je akilini mwako watafanikiwa kucheza hivi sidhani.

Usaidizi wa USA kujidai anapeleka msada umeisha julikana na wanafahamu wazi hawawezi tena kufanikiwa kuokoa mtekwa kwa njia walio tumia, kwa walio baki isipokuwa kwa masharti ya Hamasi.

Kama unajua umuhimu wa raia we unataka maisha yako Israel auwe wa Palestine bila makosa yoyote yale, na Hamasi kuingia Ihilo taifa la srael mlio pewa na uingereza kwa kudhukumu wa Palestine ni kosa, hapo ndio mnatuonyesha ujinga wenu.


View: https://youtu.be/ttPlOIqttsc?si=pAT9bMOoKBvVNyAd
 
''Mmepoteza?'' Sema ''wamepoteza''. Hakuna wayahudi humu.

Na wewe uache kujikuta ni Hamas kenge wewe! Sisi wote ni wabongo tu.
 
Mtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.

Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile [emoji1]
Huna akili. Kumbe kuna wapumbav wengi.humu angekua mama ako anatumiwa kama ngao na magaidi kujificha ili yeye afe ili gaidi lipone au familia yako ingekua imetekwa ungeongea huu upuuzi,, fikiria gaidi.mmoja anaondoka.na maiti zaidi ya 200 za wasio na hatia, unachoshangilia hapo ni nini..huna akili.
 
We kweli mbwa !
 
Sema wale jamaa wanaokuwa na majeruhi hata mi huwa Nina mashaka nao kuwa ni Hamas wanaokuwa eneo la tukio
Ni waislam wa tz pekee ndio wanafurahia hii vita ila huko kwingine wanaomba iishe
Maislamu mapumbavu tu haya maskini!
 
Nyie kweli mbwa! Ok endeleeni kuwatumia wanawake na watoto kama ngao yenu mkifikiri mtaachwa, kitu mnachojisifia nacho mkiuawa kama.mammbwa mnajisifu mmeondoka na mamia ya maiti za wanawake na watoto..kwanza wapalestina wameanza kutoa taarifa nyeti kwa majeshi kuhusu hayo mammbwa hamavi mana wamechoka kutumiwa kama.ngao na hao mbwa. Subirini muone nyie hamavi wa temeke
 
Umeongea ukweli mchungu sana, gaidi hathamini uhai wa watu wengine.
 
Ah! Hamna msimamo. Mara mseme ni Special Forces Operantions, mara ni Delta Force ... sasa Delta force na Special Operations ni kitu kile kile au ni vitu viwili Tofauti? OK, sasa semeni ni Marine seals au Blackwater au........ruksa.
Wewe tafsiri unavojua ila marekani ndo kaingilia kati kuwasaidia wavaa pampas.
 
Hizo kambi zipo kwa ajili ya magaidi
 
Mtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.

Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile πŸ˜„
Utakufa na janaba dogo!
Sababu ushuzi wa shetani Hauna KATA.3
πŸ‘‡πŸ‘‡
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)
halafu unaumia ukiwa wapi????
 
Ni taarifa isiyokuwa na ukweli wowote.
Huyu ni mtaalamu mkubwa katika mipango ya vita kuliko majenerali wote wa Israel na mwanzoni tuliambiwa ndiye aliyelipanga tukio la oktoba 7 mwanzo mpaka mwisho na likafanikiwa.Picha hiyo ya mwanzoni mwa vita hata hikumtaja sana Yahya Sinwar kuliko huyu Injinia Mohammed Deif,Allah amuhifadhi.
Ingekuwa taarifa hii ni kweli basi Israel wangeshangilia kuuwawa kwake kuliko kushangilia hao mateka 4 waliookolewa.
 
We mimi life nayo ishi huwezi kuwa nayo hata siku moja eti naumia nikiwa wapi πŸ˜„

Hizo hadith zingine sijui mnaziokota wapi nacho fahamu kuna hadith sahihi ambaye Mtume Muhammad anasema Kama huna maneno mazuri ya kuongea bora unyamaze.

Sijui mnapotezwa na nani kucopy hadith fake na mnazitumia kwa point haziendani na lengo lake πŸ˜„
 
Kambishie Mtume aka allah!
Mimi hayanihusu!
Mimi naburudika na mbuzi Katoliki na kushushia
 

Attachments

  • Screenshot_20240320-170538~2.jpg
    48.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240522-211631~2.jpg
    27.3 KB · Views: 2
Kambishie Mtume aka allah!
Mimi naburudika na mbuzi Katoliki na kushushia
Yani unataka kunionyesha una maisha mazuri kwa kupiga screen shot vyakula vya watu, we kweli njaa nimeamini.

Unasikia wewe sister hakuna hadithi zanamna hio mtume akaongea matusi eti anaye tukana anajambiwa na shetani hahaha πŸ˜†

Ungesema labda Usitukamne pale uko kwenye hamaki, au usitukane watu, au ukihamaki katawadhe sababu hamaki huwa inatokana na shetani hapo ningesema hizo kweli hadith za Mtume.

Lazima ufahamu Mtume Muhammad alikuwa hakeri watu, hatukani daima maneno yalikuwa mazuri na mwenye sifa nzuri huyo ndio Mtume Muhammad.
 
Sijaona Taarifa hiyo ya Jeshi la America na mahali Israeli alipokiri hayo.
Nakubali kwamba inawezekana kabisa wapo Waplestina wanafiki ila ww ulisema Waarabu - Je, kila mwarabu ni Mpalestina?
sio wanafiq mkuu ni vile tu wamechoka na hamasi wanaish kama wadudu saiv kwa sababu ya ujinga wa hamas sasa jiulize kamanda mwandamiz anaenda kujificha kwenye kambi za wakimbiz kama sio kuwatumia wapelestina kama ngao
 
sio wanafiq mkuu ni vile tu wamechoka na hamasi wanaish kama wadudu saiv kwa sababu ya ujinga wa hamas sasa jiulize kamanda mwandamiz anaenda kujificha kwenye kambi za wakimbiz kama sio kuwatumia wapelestina kama ngao
Hiyo ni kweli mkuu. Kambi za wakimbizi zina utaratibu wake. Sijui huyo kamanda aliwezaje kuingia humo kama sio kujidhalilisha. Inakuwaje mtu mzito kiasi hicho anaenda kuomba wakimbizi wamlinde? Inamaana walinzi wa HAMAS ndo kwishney au........ HAMAS hawaishi kufanya vituko. Majuzi kati hapo walienda kuwaomba akina mama wanaosubiria kujifungua kule Hospital ya Al shifa eti wawalinde. Hospitali ilipofumuliwa HAMAS wakadai eti IDF anaua akina mama na watoto.
HAMAS wamegeuzwa na IDF kuwa ni wapiganaji wanaohaha huku na kule kuokoa maisha/uhai wao. Mara wakaombe wanafunzi mashuleni wawalinde, mara wajiingiza kwenye nyumba za Raia na kuvalia baibui lakini kidume IDF akawafuata huko huko na HAMAS wakadai eti IDF anaua raia wasio na hatia. Dah! HAMAS sasa wamekuwa kamasi ni mwendo wa kupenga na kutupa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…