Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Hata muliro hapuuzi taarifa yoyote 😁😁 maana mwanzoni aliwaona watanganyika kama watu wasio weza lolote likeSasa hvi hatupuuzii Taarifa kutoka kwa mtu yeyote yule.
na mpaka sasa sijaona nguruwe yeyote anaagiza vifaru vizurule road kutisha raia Wala sijaona ng'ombe yeyote anaamrisha mazoezi ya askari barabarani kuelekeza December. Mikia ipo katikati ya miguu wanatafakari watokeje