Kiongozi mwandamizi wa Redcross ako nchi jirani yule Askofu atumia zoom

Kiongozi mwandamizi wa Redcross ako nchi jirani yule Askofu atumia zoom

Top spy wa wapi? Hivi hizi story za vijiweni mnatoaga wapi? Anaweza kuwa spy ila kumuita "top spy" is exaggeration. Top spy alieshindwa kudhibiti maandamano na maafa kabla hayajatokea?
pole una jua hata sababu zilizo mfanya magu ampeleke ubalozini
 
Sema mnawapaga hype hawa watu mgejua aya
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
 
Top spy wa wapi? Hivi hizi story za vijiweni mnatoaga wapi? Anaweza kuwa spy ila kumuita "top spy" is exaggeration. Top spy alieshindwa kudhibiti maandamano na maafa kabla hayajatokea?
Mwambie hajawai kua hata boss wa PSU hype tu sema ni mtu poa tu Nchimbi sio mtu wa majivuno
 
Hii ina maana Gani kila taarifa mkiipata munakuja kuimwagwa huku JF ?.

Kuweni na vifua nyinyi watoto.
 
I Will hit you at right time "paul kagame"
 
Kauli ambayo hadi leo haitoki akilini mwangu ni ike ya kusema kuna wakimbizi nchini ambao wapo kwenye nafasi za kufanya maamuzi makubwa serikalini. Sikumbuki nani aliiongea hii kauli.
Alieongea hayo maneno ni mwana CCM mmoja mwenye suti za kijani.
 
Back
Top Bottom