Kiongozi mwandamizi wa Redcross ako nchi jirani yule Askofu atumia zoom

Sasa hvi hatupuuzii Taarifa kutoka kwa mtu yeyote yule.
Hata muliro hapuuzi taarifa yoyote 😁😁 maana mwanzoni aliwaona watanganyika kama watu wasio weza lolote like
na mpaka sasa sijaona nguruwe yeyote anaagiza vifaru vizurule road kutisha raia Wala sijaona ng'ombe yeyote anaamrisha mazoezi ya askari barabarani kuelekeza December. Mikia ipo katikati ya miguu wanatafakari watokeje
 
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
Why think.. of countering, instead of dealing with the source before the race begins?
 
Kauli ambayo hadi leo haitoki akilini mwangu ni ike ya kusema kuna wakimbizi nchini ambao wapo kwenye nafasi za kufanya maamuzi makubwa serikalini. Sikumbuki nani aliiongea hii kauli.
 
Attachments

  • Screenshot_20251115-124205.png
    248.4 KB · Views: 20
Kauli ambayo hadi leo haitoki akilini mwangu ni ike ya kusema kuna wakimbizi nchini ambao wapo kwenye nafasi za kufanya maamuzi makubwa serikalini. Sikumbuki nani aliiongea hii kauli.
Hii hapa wala usiumize kichwa sana

Atakufa lini au ataachia hicho kiti lini? Ndio kitu pekee ninachotaka kuskia mimi.
Ana wakati mgumu sana. Kajizolea maadui wa kutosha wa ndani na nje. Hapo natural death itamuacha??
Your browser is not able to display this video.

[AT

TACH=full]3502272[/ATTACH]
 
Attachments

  • X68z5YAAPkXxAMWL.mp4
    1.7 MB
Mzee wa nabado, siku hizi unajitahidi kuandika vizuri. Jf ni shule hakika.

Tatizo lako ukiulizwa kitu hujibu, nyuzi zako zinakosa mashiko
 
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
Na ndie pekee aliebaki dodoma wakati maandamano yameshika kasi..yule jamaa ni mwamba
 
Ngoja nikavute ganja kwanza ntarudi
9dec naona ni mbali sana!
 
Kauli ambayo hadi leo haitoki akilini mwangu ni ike ya kusema kuna wakimbizi nchini ambao wapo kwenye nafasi za kufanya maamuzi makubwa serikalini. Sikumbuki nani aliiongea hii kauli.
Nenda youtube
 
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
Top spy wa wapi? Hivi hizi story za vijiweni mnatoaga wapi? Anaweza kuwa spy ila kumuita "top spy" is exaggeration. Top spy alieshindwa kudhibiti maandamano na maafa kabla hayajatokea?
 
Mweeeehhh Mambo ya kina Wazalendo FRDC?
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…