pole una jua hata sababu zilizo mfanya magu ampeleke ubaloziniTop spy wa wapi? Hivi hizi story za vijiweni mnatoaga wapi? Anaweza kuwa spy ila kumuita "top spy" is exaggeration. Top spy alieshindwa kudhibiti maandamano na maafa kabla hayajatokea?
😂😂😂Sasa hvi hatupuuzii Taarifa kutoka kwa mtu yeyote yule.
Ziara ya makamu kuke drc nazani sio tu kwenda kwenye ilo tukio lilo mpeleka lazima kutakua na maongezi ya ku counter any threats kumbuka uyu ni top spy piq
Mwambie hajawai kua hata boss wa PSU hype tu sema ni mtu poa tu Nchimbi sio mtu wa majivunoTop spy wa wapi? Hivi hizi story za vijiweni mnatoaga wapi? Anaweza kuwa spy ila kumuita "top spy" is exaggeration. Top spy alieshindwa kudhibiti maandamano na maafa kabla hayajatokea?
Mzee wa nabado, siku hizi unajitahidi kuandika vizuri. Jf ni shule hakika.
Tatizo lako ukiulizwa kitu hujibu, nyuzi zako zinakosa mashiko
Hii ina maana Gani kila taarifa mkiipata munakuja kuimwagwa huku JF ?.
Kuweni na vifua nyinyi watoto.
Bongo hakuna tetesi.Sasa hvi hatupuuzii Taarifa kutoka kwa mtu yeyote yule.
Alieongea hayo maneno ni mwana CCM mmoja mwenye suti za kijani.Kauli ambayo hadi leo haitoki akilini mwangu ni ike ya kusema kuna wakimbizi nchini ambao wapo kwenye nafasi za kufanya maamuzi makubwa serikalini. Sikumbuki nani aliiongea hii kauli.
Mamaaaee unizidi mie nipo hapa zenji lakini nitashangilia mitaaniAkidondoka nazima simu mwezi mzima nakesha BAR
I Will hit you at right time "paul kagame"
Deep.state "Desert mission"Redcross ni kina nani?
Redcross ni kina na
Mkuu RESILIENT KATO hivi account ya Tumia Akili unadhani ni ya nani ile?Deep.state "Desert mission"