Kiongozi mwingine wa Magaidi kafyekelewa mbali leo huko Beirut makao makuu ya Isbollah Lebano

Kiongozi mwingine wa Magaidi kafyekelewa mbali leo huko Beirut makao makuu ya Isbollah Lebano

Wakuuu hizi ndio habari duniania

Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa
Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧
Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo

Huku Waziri mkuu mwenye akili kuliko wote duniani Benjamin Netanyahu

Akiambia dunia Ukitupiga tunakupiga ,hakuna sehemu katka nchi ya Iran mfadhili mkuu wa Magaidi hatuwezi kufika

Kutoka na hutuba hiyo yenye viwango ambayo haijawai kutolewa na kiongozi yeyote Duniania iliwafanya mataifa yote ya Mashariki ya kati kususia Hotuba hii makini kabisa


Huko Lebanon wenzio wesha anza sherehe za maziko ya Nasrallah hivyo

View: https://x.com/emilykschrader/status/1839807907736527259
 
Kenge wa CCM, hawaelewi dunia inavyokwenda, Rwanda anaelewa nguvu ya Israel, ndio maana, idara yake ya kijasusi, inatumia software kutoka Israel, kudukua simu za, viongozi wa, Afrika, hapa lazima anadukua ya huyu Bibi kizee wa, kizimkazi, USA, akiamua tuchapike, tutachapika vibaya Sana,
Amka usije ukajikojolea. Rwanda aichape tz wewe jamaaaaaa unachekesha sana.
 
Back
Top Bottom