Kiongozi huunda njia, malengo mapya, huwa na dira na huwaonesha watu njia ya kuelekea kwenye malengo hayo.
Meneja/mtawala hawa hudhibiti au kuwaelekeza watu kanuni au taratibu zilizokwisha wekwa.
Kila kiongozi lazima ajue kuongoza na kutawala na kutumia mitindo yote ya uongozi ambayo ni:
1.uongozi wa kiimla.
2.uongozi wa kidemokrasia.
3.uongozi wa uhuria.
Kulingana na mazingira.