Pia alihusika kwenye assassination ya El Sadat aliyekuwa rais misri.Watu wengi hawajui Kama Zawahiri alikuwa mtata kuliko hata Osama mwenyewe, huyu mwamba ameanza utata hata kabla hajafikisha miaka 10 huko kwao Maadi Cairo. Anatoka ukoo wa kishua balaa
... ha ha ha! eti kuku anayekunywa maji! mjini patamu wewe asikuambie mtu; nani abaki shamba Mkuu?Alzawhri alishajisahau kabisa. Angebakia tu milimani huko kwenye triibral tarrain na makabila ya Pashto ambao ni Talenan. Sasa yeye kaenda kujichanganya mjini Kabul halafu alikuwa akipunga hewa kwenye Balcony mizinga miwili ya drones " ninja hell fire". Ila mmarekani noma. Wameleta hofu Sana kwa magaidi. Na siku hizi magaidi wakitembea macho Yao Kila mara yanaangalia juu utadhani kuku anayekunywa maji.
amna kitu apo kikundi wamekiunda wenyewe ili wapate kibali cha kuzivamia nchi za kiarabu jwa kisingizio kuwa wanaenda kupambana na Al qaedaTaarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan...
Ila hapa JF kuna watu wana Washawasha (washwawashwa, hahaha) si mchezo!!!Huyu naye hakuichangamsha Dunia alikaa kiboyaboya sana.
Muziki mzuri mida ya baadae tunausubiri kwa hamu pale Taiwan,kibibi kitatua Au kitasepa!?
Nalog off Z
... inawezekana anasakwa; you never know! No matter how long it will take, kama yuko kwenye red list yake watamdaka tu - dead or alive!Wamsake Putin ndio tujue wako vizurii
... watakuwa wameanza eda muda huu! Ha ha ha!Pole sana Bwana Utam kwa msiba mzito
... mivinyo ikatazwe duniani halafu iruhusiwe "akhera"; dhana za ajabu kweli kweli!Huku amejilaza kando ya vijito vitiririshavyo mvinyo.Raha ajabu!😂😂😂😂
Utajua haujui!Hiyo inaitwa ndonga za Mandonga.😂😂😂😂... mivinyo ikatazwe duniani halafu iruhusiwe "akhera"; dhana za ajabu kweli kweli!
Hawatotoka ndani kwa muda gani?😂😂😂... watakuwa wameanza eda muda huu! Ha ha ha!
Hii hoja haina mashiko..niyakitoto sana..can you please come with a reasonable answer.Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini kwa mtazamo wa vipofu ni sawa but kwa mtazamo wa jicho la tatu,wote wale wanapingana na dini wanapigania maslai binafsi ya kidunia na sio ya ahera kupitia dini kwa kuwabrain wash watu ambao Wana utupu au gap kwenye saikolojia yao.Hii hoja haina mashiko..niyakitoto sana..can you please come with a reasonable answer.
#MaendeleoHayanaChama
Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Matendo yake yana hakisi uislamu? Ugomvi wa osama na USA si ugomvi wa waislamu na USA.Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?
Aliwaingiza chaka waislamu Ili kupata sapoti ya kudai maslai yake ambayo hayahusiani na takwa za dini yake.Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?