Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

Alzawhri alishajisahau kabisa. Angebakia tu milimani huko kwenye triibral tarrain na makabila ya Pashto ambao ni Talenan. Sasa yeye kaenda kujichanganya mjini Kabul halafu alikuwa akipunga hewa kwenye Balcony mizinga miwili ya drones " ninja hell fire". Ila mmarekani noma. Wameleta hofu Sana kwa magaidi. Na siku hizi magaidi wakitembea macho Yao Kila mara yanaangalia juu utadhani kuku anayekunywa maji.
... ha ha ha! eti kuku anayekunywa maji! mjini patamu wewe asikuambie mtu; nani abaki shamba Mkuu?
 
Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan...
amna kitu apo kikundi wamekiunda wenyewe ili wapate kibali cha kuzivamia nchi za kiarabu jwa kisingizio kuwa wanaenda kupambana na Al qaeda
 
Mmh Mbona ni Marais wa Chama Cha Democrats tu ndio wanafanikisha haya kwa Alqaida??

Alianza Obama sasa Biden.
 
Wamsake Putin ndio tujue wako vizurii
... inawezekana anasakwa; you never know! No matter how long it will take, kama yuko kwenye red list yake watamdaka tu - dead or alive!
 
Approval ratings za Joe Biden zimepanda ghafla hadi 98% amazing! !!
 
Wameacha hata kielelezo cha kifusi cha ndevu kweli au wameteketeza kila kitu?

Marekani ukimchokoza au kuichokoza amani ya dunia vita yake huwa haiishi mpaka akushinde , anaweza kubadili mbinu na kujifanya kama amejitoa kumbe anakufuatilia kimya kimya kama alivyoondoa majeshi yake afganistani na leo kaondoa hii sehemu ya tatizo ya amani ya dunia
 
... huyu hawajahangaika kwenda kudumbukiza bahari kuu au wameacha ndugu na marafiki wakazike?
 
Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Hii hoja haina mashiko..niyakitoto sana..can you please come with a reasonable answer.


#MaendeleoHayanaChama
 
Hii hoja haina mashiko..niyakitoto sana..can you please come with a reasonable answer.


#MaendeleoHayanaChama
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini kwa mtazamo wa vipofu ni sawa but kwa mtazamo wa jicho la tatu,wote wale wanapingana na dini wanapigania maslai binafsi ya kidunia na sio ya ahera kupitia dini kwa kuwabrain wash watu ambao Wana utupu au gap kwenye saikolojia yao.

Kwanini wanatumia dini jibu ni rahisi kupata mental slaves kupitia dini so watapata wapiganaji cheap wenye attitude ya kupigana kwa brainwashed kwamba wanapigania dini, only ni viongozi wakubwa tu wa makundi hayo ndio wanajua ajenda. Isipokuwa dini ya shetani pekee ndio inaruhusu kuua, uislamu hauruhusu kuua mtu au kiumbe chochote kisicho na hatia kesho utadaiwa damu yake.

Makundi yote hayo hufanya biashara haramu mfano kulima na kuuza madawa ya kulevya, usafirishaji haramu watu kuuza viungo vya binadamu, ukahaba na cheaper labour, mirungi, bangi,nk Ili kupata pesa za kuendesha kundi kwa maana ya kununua silaha, chakula,mafuta,nk.SAsa uislamu je unaruhusu Muislamu kufanya biashara haramu?

Tatu jiulize hizo silaha wanapata wapi wakati kuna mipaka na ulinzi zinavukaje hadi kuwafikia makundi hayo.
Conclusion ugaidi ni conspiracy theory kwa ajenda kuu ya darksiders kudrive nini wanataka kwa wakati husika. Jiulize je bado unasikia tena wimbo wa corona?
 
Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?
Matendo yake yana hakisi uislamu? Ugomvi wa osama na USA si ugomvi wa waislamu na USA.

Hawa walizulumiana kwenye operation ya kumpiga Mrusi kupitia taliban kuna vitu vilikiukana.Kumbuka USA ndio walimpika osama na Saddam then wakawaua baada ya kumaliza Kazi walizowatuma kutimia.

Uncle sadam alipikwa Ili kuivuruga middle east ikiwemo Iran,then akamalizwa kwa kutumia alqaeda na ISIS,wakalipunguza nguvu kundi la alqaeda wakaanzisha ISIS.

Mchezo unataka kuhamia Taiwan vs China moto utawaka kama China atameza ndoani kama Putin alivyoingia kichwa kichwa Ukraine hakuusoma mtego.
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Osama bin Laden alikuwa akipambana dhidi ya Uislamu?
Aliwaingiza chaka waislamu Ili kupata sapoti ya kudai maslai yake ambayo hayahusiani na takwa za dini yake.
Ni SAwa na kuitumika akaunti ya kanisa kutakatisha pesa kwa interest binafsi.
 
Back
Top Bottom