Hii hoja haina mashiko..niyakitoto sana..can you please come with a reasonable answer.
#MaendeleoHayanaChama
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini kwa mtazamo wa vipofu ni sawa but kwa mtazamo wa jicho la tatu,wote wale wanapingana na dini wanapigania maslai binafsi ya kidunia na sio ya ahera kupitia dini kwa kuwabrain wash watu ambao Wana utupu au gap kwenye saikolojia yao.
Kwanini wanatumia dini jibu ni rahisi kupata mental slaves kupitia dini so watapata wapiganaji cheap wenye attitude ya kupigana kwa brainwashed kwamba wanapigania dini, only ni viongozi wakubwa tu wa makundi hayo ndio wanajua ajenda. Isipokuwa dini ya shetani pekee ndio inaruhusu kuua, uislamu hauruhusu kuua mtu au kiumbe chochote kisicho na hatia kesho utadaiwa damu yake.
Makundi yote hayo hufanya biashara haramu mfano kulima na kuuza madawa ya kulevya, usafirishaji haramu watu kuuza viungo vya binadamu, ukahaba na cheaper labour, mirungi, bangi,nk Ili kupata pesa za kuendesha kundi kwa maana ya kununua silaha, chakula,mafuta,nk.SAsa uislamu je unaruhusu Muislamu kufanya biashara haramu?
Tatu jiulize hizo silaha wanapata wapi wakati kuna mipaka na ulinzi zinavukaje hadi kuwafikia makundi hayo.
Conclusion ugaidi ni conspiracy theory kwa ajenda kuu ya darksiders kudrive nini wanataka kwa wakati husika. Jiulize je bado unasikia tena wimbo wa corona?