Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

Si ndio maana nakuambia uache uongo. Utalipwaje pesa wakati haijathibitishwa kwamba mwili ni wa gaidi Osama Bin Laden???
Hebu rudi shule ukasome tena jinsi CIA wanavyolipa watu kwa kupata information. Tena wala usifike mbali tafuta za Zanzibar na TAnganyika tu.

Nadhani umepata hicho kisimu cha smartphone hivi juzi tu kwa hivyo unaona ajabu kila kitu.
 
US official, speaking on the condition of anonymity, said a drone strike was carried out by the CIA in the Afghan capital Kabul on Sunday
Huyu jamaa alikuwa Kabul ?...🙄🙄
 
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam sikuona habari ya kuliwa kwa kiongozi namba mbili wa kundi la Al Qaeda.

Nimeona habari ya Bi Mkubwa Nancy Pelosi ziara yake Taiwan na uchaguzi wa Kenya.

Ama hii kwao sio habari pamoja na kutajwa kwa Ayman kama ni kinara wa mashambulizi ya Ubalozi wa USA Dar es Salaam na Nairobi mwaka 1998.
 
Habari ni nyingi za kutangaza
 
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam sikuona habari ya kuliwa kwa kiongozi namba mbili wa kundi la Al Qaeda...
Pengine hawataki kuingizwa chaka. Mara nyingi maadui wa mabeberu huwa wanauwawa zaidi ya mara moja. Au wameonyesha maiti?
 
Ugaidi lazima udhibitwe kwa namna yoyote ile
 
Imepoa Sana Haina Vitisho Na Matukio Kama Ya Osama
Ila US Anajua Akiacha Baadaye Itakuwa Kazi, Bora Kuwauwa Taratibu
Wewe unauliwa na hao Wamarekani bila kujijua
 
Hata na wewe unauliwa na hao Wamrekani bila kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…