jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Je ni lini jumuiya za kiislamu zilishawahi kutoa matamko ya kulaani vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na hayo makundi?.Labda ujaelewa jibu,wapi ueleweshwe
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni lini jumuiya za kiislamu zilishawahi kutoa matamko ya kulaani vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na hayo makundi?.Labda ujaelewa jibu,wapi ueleweshwe
Hebu rudi shule ukasome tena jinsi CIA wanavyolipa watu kwa kupata information. Tena wala usifike mbali tafuta za Zanzibar na TAnganyika tu.Si ndio maana nakuambia uache uongo. Utalipwaje pesa wakati haijathibitishwa kwamba mwili ni wa gaidi Osama Bin Laden???
Huyu jamaa alikuwa Kabul ?...🙄🙄US official, speaking on the condition of anonymity, said a drone strike was carried out by the CIA in the Afghan capital Kabul on Sunday
Yeah, baada ya Taliban kuchukua madaraka, jamaa alirudi kuishi Kabul kwenye "Safe House"Huyu jamaa alikuwa Kabul ?...🙄🙄
Pengine hawataki kuingizwa chaka. Mara nyingi maadui wa mabeberu huwa wanauwawa zaidi ya mara moja. Au wameonyesha maiti?Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam sikuona habari ya kuliwa kwa kiongozi namba mbili wa kundi la Al Qaeda...
icho kitu awawezi kufanya never wakifanya ivyo apo israel apatokalikaKuna kiongozi wa Hezbollah Muktadah Al Sadri ndiye atafuata kwenye hii orodha.
Swali lako kuhusu kibibi kutua Taiwan lilijibiwa? Una swali lingine?Huyu naye hakuichangamsha Dunia alikaa kiboyaboya sana.
Muziki mzuri mida ya baadae tunausubiri kwa hamu pale Taiwan,kibibi kitatua Au kitasepa!?
Nalog off Z
Mzee wa umri huu anapata faida gani ya kuwa gaidi?Manhattan, New York City
Successful counterterrorism operation : Top al Qaeda leader Ayman al-Zawahiri killed in U.S. drone attack
Wewe unauliwa na hao Wamarekani bila kujijuaImepoa Sana Haina Vitisho Na Matukio Kama Ya Osama
Ila US Anajua Akiacha Baadaye Itakuwa Kazi, Bora Kuwauwa Taratibu
Hata na wewe unauliwa na hao Wamrekani bila kujitambuaMagaidi hawako salama kila mahali, ukiona ligaidi ambalo halijauliwa si kwamba ni lijanja na lina uwezo wa kujificha ila jua Marekani hajaona ulazima wa kuliua kwa wakati huo. Muda ukifika ni shaba basi.
Tunasubiri watakayemchagua naye awekwe kwenye orodha ya watafutwaji