Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

Plotters wote wa sep 11 wameuawa au wamedakwa
 
Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan
Ila wa Afghan walitengeneza fedha nzuri kwa uwepo wa hawa Al qaida. Pale awali wamarekani walionyeshwa makaburi feki mengi sana ya Osama na Alzawahir na viongozi wengine muhimu.

Walikuwa wakigawa fedha ili kupata taarifa zao na hapo ndiyo jamaa wakaona pa kujipatia fedha.

Walipotanabahi kuwa wanadanganywa walishatoa fedha nyingi sana.
 
Jihadists wote tunawapa pole sana kwa msiba huu mkubwa uliowapata ila huyo ameenda kuwapata wale mabikra ambao bila shaka na nyie mnawatamani sana hivyo muendeleze kazi ya huyu Al Zawahiri ili na nyie mje mpate hiyo bahati.
 
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini kwa mtazamo wa vipofu ni sawa but kwa mtazamo wa jicho la tatu,wote wale wanapingana na dini wanapigania maslai binafsi ya kidunia na sio ya ahera kupitia dini kwa kuwabrain wash watu ambao Wana utupu au gap kwenye saikolojia yao....
Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.

Je utamuamisnisha vipi mtu anaye ona wapiganaji wa makundi hayo wakati wakiua wakitaji jina la mungu wao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila wa Afghan walitengeneza fedha nzuri kwa uwepo wa hawa Al qaida. Pale awali wamarekani walionyeshwa makaburi feki mengi sana ya Osama na Alzawahir na viongozi wengine muhimu...
Huu ni uongo wa wazi kabisa kwa sababu lazima wangechukua kwanza sehemu ya mwili kwenda kufanya DNA ili kujiridhisha kwamba ndio yeye aliyekuwa amezikwa kwenye kaburi husika.
 
Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.

Je utamuamisnisha vipi mtu anaye ona wapiganaji wa makundi hayo wakati wakiua wakitaji jina la mungu wao.

#MaendeleoHayanaChama
Hawawezi kulaani kwa sababu hawa watu wako kwenye mission iliyoidhinishwa na dini.
 
Huu ni uongo wa wazi kabisa kwa sababu lazima wangechukua kwanza sehemu ya mwili kwenda kufanya DNA ili kujiridhisha kwamba ndio yeye aliyekuwa amezikwa kwenye kaburi husika.
Wacha kubisha kitu ambacho wewe hujakisikia. Mimi nimeona kabisa kwenye moja ya documentaries zao baada ya kumpiga Osama na walipokuwa wakitoa maelezo.

Walikuwa wanadanganywa na walionyeshwa makaburi mengi sana na walikuwa wakichukua DNA na kuona siye Osama wa Ayman. Au ulidhania walikuwa wanamfukua na kumcheki tu?
 
Mbinu za kuwafanya wananchi kusahau kuhoji mambo ya msingi hasa gharama ya maisha kupanda.

Huyu kiongozi wa Al qaeda hakuwa threat kiasi hiko.
 
Hawawezi kulaani kwa sababu hawa watu wako kwenye mission iliyoidhinishwa na dini.
Sijawahi kuona tamko hata la bakwata kulaani hayo makundi..bali hukaa kimya kama vile hawapo..manake ukimya wao ni kuunga mkono makundi hayo ya kigaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wacha kubisha kitu ambacho wewe hujakisikia. Mimi nimeona kabisa kwenye moja ya documentaries zao baada ya kumpiga Osama na walipokuwa wakitoa maelezo...
Si ndio maana nakuambia uache uongo. Utalipwaje pesa wakati haijathibitishwa kwamba mwili ni wa gaidi Osama Bin Laden???
 
Nimeumia sana
Pole sana..mwenzako sasahivi anakula mbususu za mabikra 70 wenye macho kama kikombe cha kahawa..huku akijichotea k vant kupitia mito ya pombe.

Nakushauri vaa suicide ujilipue kwa hasira na wewe ukaenjoy.

Hapana nilivutiwa tuu na masimulizi yao na nilipenda misimamo yao
 
Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.

Je utamuamisnisha vipi mtu anaye ona wapiganaji wa makundi hayo wakati wakiua wakitaji jina la mungu wao.

#MaendeleoHayanaChama
Kwenda nyumba za ibada hakumaanishi ucha Mungu,ni SAwa na mitume na manabii wa uongo wanaotumia uchawi makanisani kutenda miujiza huku wakilitaja jina la Yesu.

Waislamu wanaosapoti makundi ya magaidi ni wale wenye upeo Mdogo lakini Muislamu anaeijua dini yupo against.

Uislamu hauruhusu kuua mtu yeyeto asiye na hatia. Uislamu unaruhusu kuua Mwizi, shoga, mchawi, fisadi, muuaji, mzinzi na kwa kuthibitika, lengo la hukumu hizi ni kuleta ustaarabu, haki na usawa kwenye Jamii.
 
Kwenda nyumba za ibada hakumaanishi ucha Mungu,ni SAwa na mitume na manabii wa uongo wanaotumia uchawi makanisani kutenda miujiza huku wakilitaja jina la Yesu...
Hujajibu swali langu la msingi..naona unazunguka zunguka tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Makundi ya kiislam yanaanzishwa kupambana na uislam?
 
Back
Top Bottom