Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wa Afghan walitengeneza fedha nzuri kwa uwepo wa hawa Al qaida. Pale awali wamarekani walionyeshwa makaburi feki mengi sana ya Osama na Alzawahir na viongozi wengine muhimu.Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan
Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini kwa mtazamo wa vipofu ni sawa but kwa mtazamo wa jicho la tatu,wote wale wanapingana na dini wanapigania maslai binafsi ya kidunia na sio ya ahera kupitia dini kwa kuwabrain wash watu ambao Wana utupu au gap kwenye saikolojia yao....
Huu ni uongo wa wazi kabisa kwa sababu lazima wangechukua kwanza sehemu ya mwili kwenda kufanya DNA ili kujiridhisha kwamba ndio yeye aliyekuwa amezikwa kwenye kaburi husika.Ila wa Afghan walitengeneza fedha nzuri kwa uwepo wa hawa Al qaida. Pale awali wamarekani walionyeshwa makaburi feki mengi sana ya Osama na Alzawahir na viongozi wengine muhimu...
Hawawezi kulaani kwa sababu hawa watu wako kwenye mission iliyoidhinishwa na dini.Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.
Je utamuamisnisha vipi mtu anaye ona wapiganaji wa makundi hayo wakati wakiua wakitaji jina la mungu wao.
#MaendeleoHayanaChama
Wacha kubisha kitu ambacho wewe hujakisikia. Mimi nimeona kabisa kwenye moja ya documentaries zao baada ya kumpiga Osama na walipokuwa wakitoa maelezo.Huu ni uongo wa wazi kabisa kwa sababu lazima wangechukua kwanza sehemu ya mwili kwenda kufanya DNA ili kujiridhisha kwamba ndio yeye aliyekuwa amezikwa kwenye kaburi husika.
Sijawahi kuona tamko hata la bakwata kulaani hayo makundi..bali hukaa kimya kama vile hawapo..manake ukimya wao ni kuunga mkono makundi hayo ya kigaidi.Hawawezi kulaani kwa sababu hawa watu wako kwenye mission iliyoidhinishwa na dini.
Si ndio maana nakuambia uache uongo. Utalipwaje pesa wakati haijathibitishwa kwamba mwili ni wa gaidi Osama Bin Laden???Wacha kubisha kitu ambacho wewe hujakisikia. Mimi nimeona kabisa kwenye moja ya documentaries zao baada ya kumpiga Osama na walipokuwa wakitoa maelezo...
Pole sana..mwenzako sasahivi anakula mbususu za mabikra 70 wenye macho kama kikombe cha kahawa..huku akijichotea k vant kupitia mito ya pombe.Nimeumia sana
Hapana nilivutiwa tuu na masimulizi yao na nilipenda misimamo yaoPole sana..mwenzako sasahivi anakula mbususu za mabikra 70 wenye macho kama kikombe cha kahawa..huku akijichotea k vant kupitia mito ya pombe.
Nakushauri vaa suicide ujilipue kwa hasira na wewe ukaenjoy.
#MaendeleoHayanaChama
Kwenda nyumba za ibada hakumaanishi ucha Mungu,ni SAwa na mitume na manabii wa uongo wanaotumia uchawi makanisani kutenda miujiza huku wakilitaja jina la Yesu.Kwanini hakuna matamko ya umma waislamu kulaani hayo makundi..badala yake hukaa kimya.
Je utamuamisnisha vipi mtu anaye ona wapiganaji wa makundi hayo wakati wakiua wakitaji jina la mungu wao.
#MaendeleoHayanaChama
Hujajibu swali langu la msingi..naona unazunguka zunguka tu.Kwenda nyumba za ibada hakumaanishi ucha Mungu,ni SAwa na mitume na manabii wa uongo wanaotumia uchawi makanisani kutenda miujiza huku wakilitaja jina la Yesu...
Labda ujaelewa jibu,wapi ueleweshweHujajibu swali langu la msingi..naona unazunguka zunguka tu.
#MaendeleoHayanaChama
Makundi ya kiislam yanaanzishwa kupambana na uislam?Haya makundi yote ya wahuni mfano ISIS, alqaed, boko haram, alshabab nk mwasisi wake anajulikana kwa ajenda yake ya kuu ni kupambana na uislamu.
Kuna kiongozi wa Hezbollah Muktadah Al Sadri ndiye atafuata kwenye hii orodha.20 years later....bado nani?
Quasim Suleman ~ Donald Trump.Mmh Mbona ni Marais wa Chama Cha Democrats tu ndio wanafanikisha haya kwa Alqaida??
Alianza Obama sasa Biden.