LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni
Kwanini Ndugu yangu?
Wapo Watu ambao kutokana na kiburi cha nguvu madaraka na pesa huwa wanadhani wanaweza kumfanyia ubaya mtu yeyote mahali popote bila wao kupata adhabu yeyote kutoka kwa Mungu !!

Kinyume chake nimeshaona wengi wakiadhibiwa na Mungu na bado adhabu zinaendelea kuwafuata popote walipo πŸ™πŸ™πŸ™
Na Bado πŸ˜³πŸ™„πŸ™
 
CCM mbona wanatunyanyasa na MUNGU anaangilia tu?
 
CCM mbona wanatunyanyasa na MUNGU anaangilia tu?
Mnyanyasaji yeyote mahali popote pale huwa hana amani moyoni mwake !
Na yeyote yule mwenye kukosa amani moyoni mwake huwa hana furaha !
Na yeyote yule mwenye kukosa furaha ya kweli huwa yumo kwenye lindi la mateso mpaka huwa anajiuliza ni kwanini alizaliwa !
Pesa Nguvu wala madaraka haviwezi kumletea mtu furaha !

Wenye kuwa navyo hivyo vitu wanajua nasema kweli maana vinawatokea !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ????!! πŸ˜±πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ
 
Mbona dogo kaongea kistaarabu sana compared na wale mbugila wengine wa chama.
 
CCM ni wajinga sn
 
Kuna mamia ya magari mapya yako barabarani kuelekea Dodoma leo na reg number PT 53..
GWM p series, za wakuu wa idara za Polisi mikoani, kila mkoa zinaenda 5, Kwa ajili ya uchaguzi sasa, na ujao maandalizi
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Yaani hapa kuna video clip na bado unadanganya! Kungekuwa hakuna video ungeandika uongo mara 1,000.

Acha hizi mambo mingi za kitoto. Mtu kaongea vizuri na kuwasihi wanaCCM kuheshimu mikutano ya wapinzani. Please acha.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Siasa za bongo, sasa hivi zipoteza maana. Watu wanashindana kupata madaraka kwa namna yoyote ile. Wamesahau lengo kuu la siasa ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…