Kiongozi wa dini usihubiri amani ya kisiasa bali hubiri amani ya Mungu

Ndugu zangu kuna tofauti kubwa kati ya amani ya kisiasa na amani ya Mungu.

Amani ya kisiasa inapatikana kwa kufuata sheria zilizomo ndani ya katiba ya nchi.

Wakati Amani ya Mungu inapatikana kwa kutii sheria za Mungu na kuyafuata na kuyatii maandiko ya Neno la Mungu.

Amani ya Mungu inauwezo wa kuleta amani ya kisiasa.

Amani ya kisiasa haina uwezo wa kuleta amani ya Mungu.

Nashangazwa sana na baadhi watumishi wa Mungu hasa maaskofu badala ya kuhubiria watu wapate Amani ya Mungu wao wanatumia nguvu nyingi kuhubiria watu wapate amani ya kisiasa.

Maasikofu wamesahau wajibu wao, sasa wanatumia nguvu nyingi. Wanahubiria watu ili waingie kwenye ufalme wa ikulu badala ya kuhubiria watu waingie kwenye ufalme Mbinguni.

Mungu tusaidie sana, Yesu alipokuja duniani hakuhangaika na amani za kisiasa hakuhangaika na ufalme wa dunia hii kama jinsi ambavyo tunawaona baadhi ya maasikofu wanahangaika na kujitutumuakuhubiri hadharani kabisa na kuzungumzia amani ya kisiasa.

Askofu inatakiwa uitafute amani ya Mungu, kwa kuwahubiri watu waokoke sio kunga'ng'ana kudai katiba mara tume huru.

Askofu katiba yako ni biblia hubiri watu waokoke amani ya kisiasa na tume unayoitaka iko ndani ya biblia humo. Hubiri watu waokoke wote watakua na amani.

Acha uvivu na kuanza kutumia nguvu ya akili. Rahasha hiyo sio njia sahihi. wewe inatakiwa utumie nguvu ya imani na kuomba tena ukiwa peke yako sio kutangaza hadharani.

Rejea
Ila Mnataka mh mungu Jiwe awe anaenda Madhabahuni kuhubiri na kukusanya Sadaka sio
?
 
Muombe sana Mungu akupe akili, busara na uelewa! Umeandika kingoshangosha!
Yaani hiyo ndio busara ambayo Mungu amenipatia. Wewe unaona ni halali Askofu kudai katiba au kutafuta amani kwa kutumia katiba badala ya kutumia biblia? Mungu akusamehe sana kwasababu huwezi kunielewa nini namaanisha.
 
Ndugu zangu kuna tofauti kubwa kati ya amani ya kisiasa na amani ya Mungu.

Amani ya kisiasa inapatikana kwa kufuata sheria zilizomo ndani ya katiba ya nchi.

Wakati Amani ya Mungu inapatikana kwa kutii sheria za Mungu na kuyafuata na kuyatii maandiko ya Neno la Mungu.

Amani ya Mungu inauwezo wa kuleta amani ya kisiasa.

Amani ya kisiasa haina uwezo wa kuleta amani ya Mungu.

Nashangazwa sana na baadhi watumishi wa Mungu hasa maaskofu badala ya kuhubiria watu wapate Amani ya Mungu wao wanatumia nguvu nyingi kuhubiria watu wapate amani ya kisiasa.

Maasikofu wamesahau wajibu wao, sasa wanatumia nguvu nyingi. Wanahubiria watu ili waingie kwenye ufalme wa ikulu badala ya kuhubiria watu waingie kwenye ufalme Mbinguni.

Mungu tusaidie sana, Yesu alipokuja duniani hakuhangaika na amani za kisiasa hakuhangaika na ufalme wa dunia hii kama jinsi ambavyo tunawaona baadhi ya maasikofu wanahangaika na kujitutumuakuhubiri hadharani kabisa na kuzungumzia amani ya kisiasa.

Askofu inatakiwa uitafute amani ya Mungu, kwa kuwahubiri watu waokoke sio kunga'ng'ana kudai katiba mara tume huru.

Askofu katiba yako ni biblia hubiri watu waokoke amani ya kisiasa na tume unayoitaka iko ndani ya biblia humo. Hubiri watu waokoke wote watakua na amani.

Acha uvivu na kuanza kutumia nguvu ya akili. Rahasha hiyo sio njia sahihi. wewe inatakiwa utumie nguvu ya imani na kuomba tena ukiwa peke yako sio kutangaza hadharani.

Rejea
Matumbo war at work. They are praising and blessing suppression to people by the rulers. Shame upon them.
 
Kama unafahamu vizuri Kiswahili, hapo mwishoni wanekuambia hiyo maana ya 'Amani', wanaomba mchamgo zaidi. Ina maana siyo tafsiri universally accepted. Ni mchango tu wa mtu.

Maana halisi iliyokubaliwa, kuhusu amani:
What is the real meaning of peace?

Peace is a stress-free state of security and calmness that comes when there's no fighting or war, everything coexisting in perfect harmony and freedom. ... When you feel at peace with yourself, you are content to be the person you are, flaws and everything.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom