Huwezi kumuona
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa hapa...
Hawa jamaa ni wanafiki na ni wapuuzi kabisa.
binafsi hata uniporomoshe mitusi kama drone za Iran kwa Israel, siwezi sita wala kuacha kufanya kazi ya wanainchi kwa bidii sana, weledi na kwa maarifa zaidi....
Lakini pia siwezi kufumbia macho uovu wowote wa kimaadili kama vile rushwa au wizi wa mali za umma, dhuluma za kingono, jinsia au udhalilishaji wa aina yoyote, utakaofanywa na kiongozi yeyote, popote pale, awe wa kidini, kiraia au kisiasa, ikithibitika na nikijiridhisha kupitia vyombo vya dola, kua, kiongozi huyo amehusuka 🐒
hata hivyo,
nazingatia zaidi chanzo cha taarifa na habari yenyewe, mathalani kwenye hili. Inafahamika bayana tabia za kutengeneza imotional script za kuvutia huruma kwa jamii ambazo mwishowe huishia muhusika kadhalilika tu huanzishwa na chanzo hiki, na kwahivyo nachelea kujitenga kutoa maoni kwa stori za kufikirika, okay?🐒
Hata hivyo,
The government under our able leader Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, will not tolerate or hastate to take disciplinary and law measures, dhidi ya wale wote watakao kiuka miiko na maadili ya viongozi wa umma kwa ngazi zote nchini. 🐒