Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Huwezi kumuona Tlaatlaah Lucas Mwashambwa hapa...
Hawa jamaa ni wanafiki na ni wapuuzi kabisa.
binafsi hata uniporomoshe mitusi kama drone za Iran kwa Israel, siwezi sita wala kuacha kufanya kazi ya wanainchi kwa bidii sana, weledi na kwa maarifa zaidi....

Lakini pia siwezi kufumbia macho uovu wowote wa kimaadili kama vile rushwa au wizi wa mali za umma, dhuluma za kingono, jinsia au udhalilishaji wa aina yoyote, utakaofanywa na kiongozi yeyote, popote pale, awe wa kidini, kiraia au kisiasa, ikithibitika na nikijiridhisha kupitia vyombo vya dola, kua, kiongozi huyo amehusuka 🐒

hata hivyo,
nazingatia zaidi chanzo cha taarifa na habari yenyewe, mathalani kwenye hili. Inafahamika bayana tabia za kutengeneza imotional script za kuvutia huruma kwa jamii ambazo mwishowe huishia muhusika kadhalilika tu huanzishwa na chanzo hiki, na kwahivyo nachelea kujitenga kutoa maoni kwa stori za kufikirika, okay?🐒

Hata hivyo,
The government under our able leader Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, will not tolerate or hastate to take disciplinary and law measures, dhidi ya wale wote watakao kiuka miiko na maadili ya viongozi wa umma kwa ngazi zote nchini. 🐒
 

Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.

Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida mwenzao kwa kumlazimisha binti apokee fedha ili wamalize kesi.


Swali:
Je, tukio hili linaweza kuhusiana na Utenguzi alioufanya Rais Samia leo 19/04/2024

Soma: Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Hawa watu wana shida gani
 
Hii Nchi ya kipuuzi sana.angekuwa mala hoi angefungwa miaka30 lakini Kwa kuwa ni mkurugenzi ametenguliwa na kuendelea na maisha.Hii awamu inalea waharifu
Siyo simple kama unavyo taka lakini upelelezi ndo kitu muhimu kuliko kuchukua maamuzi kwani huyo ni kiongozi.
 
Back
Top Bottom