dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Ni juzi tu mifungo imeisha. Hatari sana.Ngunga ina nguvu sana ikipanda kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni juzi tu mifungo imeisha. Hatari sana.Ngunga ina nguvu sana ikipanda kichwani
Kumbe na wewe umemdukua kama Mimi😂😂😂
binafsi hata uniporomoshe mitusi kama drone za Iran kwa Israel, siwezi sita wala kuacha kufanya kazi ya wanainchi kwa bidii sana, weledi na kwa maarifa zaidi....
Nitajie mmoja muadilifu ndani ya CCM, nami nitakuonyesha malaya mwenye bikiraCCM Chama cha Malaya
Hawa watu wana shida gani
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X
Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.
Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida mwenzao kwa kumlazimisha binti apokee fedha ili wamalize kesi.
Swali:
Je, tukio hili linaweza kuhusiana na Utenguzi alioufanya Rais Samia leo 19/04/2024
Soma: Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Hahaa...hakunaNitajie mmoja muadilifu ndani ya CCM, nami nitakuonyesha malaya mwenye bikira
Siyo simple kama unavyo taka lakini upelelezi ndo kitu muhimu kuliko kuchukua maamuzi kwani huyo ni kiongozi.Hii Nchi ya kipuuzi sana.angekuwa mala hoi angefungwa miaka30 lakini Kwa kuwa ni mkurugenzi ametenguliwa na kuendelea na maisha.Hii awamu inalea waharifu
Hapana, huyu ni BONI TAUNI.Mkuu wewe ni "BONI YAI"???
CCM na uDed wapi na wapi?
Umerogwa?[emoji38]
Uliowataja ni punguani, wanafiki na wagonjwa wa nafsi.
KugwangalaNitajie mmoja muadilifu ndani ya CCM, nami nitakuonyesha malaya mwenye bikira
Kubaka kwa jinsi kuna uhusiano gani na uchaguzi?Kuelekea uchaguzi tutaona mengi, kalumanzila
Huyo ni ngedere kabisa hajui kama makurugenzi yote ni makada ya nzi wa kijani.Umerogwa mwenyewe, kuna Mkurugenzi gani ambaye sio kada wa CCM we mphuuzi?
Mkuu pole.Mamako ndio malaya na we ni mwanaharamu
Huko ndiyo kubaka sasa. Afadhali amtongoze wakubalianeMkurugenzi amewaaibisha CCM, yaani alishindwa hata kunyatia usiku? Housegirl ananyatiwa tu
Kwanini asipelekwe mahakamani haki ikatendeke kwa pande zoteAsante kwa taarifa nawasiliana na Samia amtengue nafasi yake kabla hakujakucha.