Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

Hawa jamaa wrnyeqe wana deal na makamanda tu.

Hii inanikumbusha walivyo deal na Goliathi, Agagi, Adonbezeki wafalme wa Filisti, Amaleki na Bezeki kwa mfuatano huo.
Ina maana wale wayahudi wa kale walikuwa na asili ya Ulaya magharibi kama hawa wa sasa?....
 
Pamoja na kuvaa madera na mabaibui haijasaidia
Bado tu wamemuwaisha kwenda kupata zile tamuu 72
Ni huzuni kubwa mwenye zambi kufa.
 
Huyo gaidi akiishi zaidi ya Desemba mwaka huu basi ataishi sana maanake Mossad kwa dili kama hizo hawana mshindani duniani na waarabu ni mashahidi.
Mkuu Imeloa Maono yako yanaishi. Hata Novemba hatujafika, Mossad wamefanya yao
 
Back
Top Bottom