Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

wale wasiokula Nguruwe ndio wamesema?
Iran alisema itakuwa WW3!
Korea alisema israel itakuwa Jivu!
Sheh Ponda na wenzake waliandamana, sasa iguseni iwaguse?
 
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
 
Hezboullah imeshindwa kabisa kuwasambaratisha hao mashoga wanaoishambulia Gaza ?
 
It won't mean anything compared to the destruction the Jews have done to Palestine. And Iran, strange death of their leader adds to salt in the wound.
Let's stop these non sense of thinking wars cab bring prosperity. Humanity all over the world is suffering, regardless of their religions
 
Tatizo haijawahi kuwa uchache
Hassan Nasrallah:

Hezbollah has surpassed 100,000 fighters, who have great readiness to fight.

There is a fear among the Israel that the Hezbollah will enter the Galilee, and this matter remains on the table if the confrontation develops.
 
Wewe punguani kweli Ukraine ni Wadosi? Mbona wanachezea kichapo hawa mabwana zako wazungu wapo wapi kuwasaidia.
Marekani imeuonya Israel wakiingia vitani na Hezbollah air defense systems zitazidiwa, hii nadhani ni kuwataarifu kwamba iron dome si kitu kwa Hezbollah, kingine Hezbollah ni Iran backed group... Hao wazungu wapo busy kumuokoa Ukraine na Russia amewachosha..
 
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
Sasa kama wamejificha mbona vita bado vinaendelea tena vikali?

Juzi waziri wa Israel alikiri wazi kwamba huwezi kuimaliza Hamas kwasababu Hamas ni itikadi.

Kama wenyewe Israel wamekiri ugumu wa kupambana na Hamas wewe ni nani unasema Hamas wepesi?
 
Hezboullah imeshindwa kabisa kuwasambaratisha hao mashoga wanaoishambulia Gaza ?
Hawajaingia vitani full wanachofanya ni kuwatwanga Israel hasa upande wa kaskazini hadi Israel imewahamisha wakazi wake zaidi ya 60,000 kuhofia mashambulizi ya kila mara ya Hezbollah.

Hicho tu ni kiashiria tosha kwamba wanawaunga mkono Hamas.

Sasa kama Israel anahangaika na Hamas tu unaelekea mwaka sasa vipi wangejiunga jeshi kamili la Hezbollah lenye kila aina ya silaha za kisasa?

Hao Hamas hata drone moja hawana lakini Israel anatoka jasho na hajakomboa mateka wake unaelekea mwaka sasa.
 
Hizo Iron dome zinaweza kuzidiwa?....basi inaonyesha zipo chache Sana.

T14 Armata
 
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
Ile kauli ya US kusema Israel isiingie Gaza ilikuwa siasa tu. Na hii ngoma Hizbollah anaenda kuchapika zaidi kuliko Hamas.
 
Hizo Iron dome zinaweza kuzidiwa?....basi inaonyesha zipo chache Sana.

T14 Armata
Israel ina eneo dogo hivyo inahitaji concentration kubwa ya mashambulizi kuzizidi AD systems. Nchi kama Urusi inalinda maeneo muhimu tu, wakati Israel almost kila eneo ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…