Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

"The enemy must expect us to come by air, land and sea. In case of an imposed war on Lebanon, the Resistance will fight with no boundaries. We will abide by no equations, nor any laws. Let the Zionist enemy and their American masters hear this carefully."

Aisee! Kauli nzito sana hii.

Hawa jamaa hawatanii kabisa!

Netanyau asijesema hakuonywa.
wale wasiokula Nguruwe ndio wamesema?
Iran alisema itakuwa WW3!
Korea alisema israel itakuwa Jivu!
Sheh Ponda na wenzake waliandamana, sasa iguseni iwaguse?
 
Akili kisoda. Hezbollah ni next level wewe mzee usifananishe mashoga na wanaume kazini.

Hezbollah hakuna mpiganaji ambaye anashiriki mapenzi ya jinsia moja kama jeshi la Mazayuni.

Umeambiwa hakuna hata nukta moja ya ardhi ya Kizayuni ambayo haitaguswa na vyuma kutokea Lebanon 🇱🇧.
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
 
Hezboullah imeshindwa kabisa kuwasambaratisha hao mashoga wanaoishambulia Gaza ?
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah:

"Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

Sehemu muhimu zaidi za hotuba yake ya leo:

- Tuna intel kwamba Jeshi la Anga la Israeli linafanya mazoezi huko Kupro, kutumia viwanja vyake vya ndege. Tunaionya Kupro, ikiwa itafungua viwanja vya ndege vyake kwa Israeli wakati wa vita vinavyowezekana, tutaichukulia kama sehemu ya vita.

- Nguvu kazi ya Hezbollah 'inazidi mbali 100.000'

- Kuvamia Galilaya bado kuna uwezekano dhahiri'

- Kutakuwa na sehemu ya 2, 3, 4 na 5 ya miji kadhaa ya Israeli iliyorekodiwa na ndege isiyo na rubani ya Hudhud. Tuna picha za Haifa, kabla ya Haifa, ng'ambo ya Haifa, na ng'ambo ya Haifa.'

- Adui anajua kwamba hakuna nukta moja ndani ya chombo cha Kizayuni ambayo hatuwezi kuifikia.

- Katika kesi ya vita kamili, kila ATGM, kombora na ndege isiyo na rubani itarushwa kwa malengo yaliyochaguliwa mapema.

- Adui lazima pia ajue kwamba kinachowangoja katika Bahari ya Mediterania si cha kudharauliwa.'

- Adui lazima atarajie sisi kuja kwa hewa, ardhi na bahari. Katika kesi ya vita iliyowekwa juu ya Lebanon, Resistance itapigana bila mipaka. Hatutafuata milinganyo, wala sheria zozote. Hebu adui wa Kizayuni na mabwana zao wa Marekani wasikie hili kwa makini.'

- Hakuna kitakachotuzuia kutekeleza wajibu wetu kuhusu Gaza. Suluhisho pekee la kufunga mipaka ya Lebanon, Yemen na Iraq ni rahisi: Acha vita dhidi ya Gaza na watu wetu wa Palestina.'

@Mtazamaji_MENA
=========================
BREAKING:

🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Hezbollah's leader Nasrallah:

"If Cyprus opens its airports to Israeli warplanes, we will attack Cyprus too"

Most important parts of his today's speech:

- We have intel that the Israeli Air Force is training in Cyprus, to use its airports. We warn Cyprus, if it opens its airports to Israel during a potential war, we will treat it as a part of the war

- Hezbollah's manpower 'far exceeds 100.000'

- Invading the Galilee remains a definite possibility'

- There will be a 2nd, 3rd, 4th and 5th episode of several Israeli cities recorded by the Hudhud drone. We have footage of Haifa, before Haifa, beyond Haifa, and beyond what is beyond Haifa.'

- The enemy knows that there is not a single point within the Zionist entity which we cannot reach.

- In case of total war, every single ATGM, missile and drone will be fired at accurately pre-selected targets.

- The enemy must also know that what awaits them in the Mediterranean Sea is not to be underestimated.'

- The enemy must expect us to come by air, land and sea. In case of an imposed war on Lebanon, the Resistance will fight with no boundaries. We will abide by no equations, nor any laws. Let the Zionist enemy and their American masters hear this carefully.'

- Nothing will stop us from carrying out our duty with regards to Gaza. The only solution to closing the fronts in Lebanon, Yemen, and Iraq is simple: Stop the war on Gaza and our Palestinian people.'

@Spectator_MENA

View: https://x.com/megatron_ron/status/1803465749651976690?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

It won't mean anything compared to the destruction the Jews have done to Palestine. And Iran, strange death of their leader adds to salt in the wound.
Let's stop these non sense of thinking wars cab bring prosperity. Humanity all over the world is suffering, regardless of their religions
 
Tatizo haijawahi kuwa uchache
Hassan Nasrallah:

Hezbollah has surpassed 100,000 fighters, who have great readiness to fight.

There is a fear among the Israel that the Hezbollah will enter the Galilee, and this matter remains on the table if the confrontation develops.
 
Wewe punguani kweli Ukraine ni Wadosi? Mbona wanachezea kichapo hawa mabwana zako wazungu wapo wapi kuwasaidia.
Marekani imeuonya Israel wakiingia vitani na Hezbollah air defense systems zitazidiwa, hii nadhani ni kuwataarifu kwamba iron dome si kitu kwa Hezbollah, kingine Hezbollah ni Iran backed group... Hao wazungu wapo busy kumuokoa Ukraine na Russia amewachosha..
 
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
Sasa kama wamejificha mbona vita bado vinaendelea tena vikali?

Juzi waziri wa Israel alikiri wazi kwamba huwezi kuimaliza Hamas kwasababu Hamas ni itikadi.

Kama wenyewe Israel wamekiri ugumu wa kupambana na Hamas wewe ni nani unasema Hamas wepesi?
 
Hezboullah imeshindwa kabisa kuwasambaratisha hao mashoga wanaoishambulia Gaza ?
Hawajaingia vitani full wanachofanya ni kuwatwanga Israel hasa upande wa kaskazini hadi Israel imewahamisha wakazi wake zaidi ya 60,000 kuhofia mashambulizi ya kila mara ya Hezbollah.

Hicho tu ni kiashiria tosha kwamba wanawaunga mkono Hamas.

Sasa kama Israel anahangaika na Hamas tu unaelekea mwaka sasa vipi wangejiunga jeshi kamili la Hezbollah lenye kila aina ya silaha za kisasa?

Hao Hamas hata drone moja hawana lakini Israel anatoka jasho na hajakomboa mateka wake unaelekea mwaka sasa.
 
Marekani imeuonya Israel wakiingia vitani na Hezbollah air defense systems zitazidiwa, hii nadhani ni kuwataarifu kwamba iron dome si kitu kwa Hezbollah, kingine Hezbollah ni Iran backed group... Hao wazungu wapo busy kumuokoa Ukraine na Russia amewachosha..
Hizo Iron dome zinaweza kuzidiwa?....basi inaonyesha zipo chache Sana.

T14 Armata
 
Hata vita ya Hamas ilielezwa hivi kuwa ni hatari sana kuwafuata mashimoni huko, USA nae akaingiwa na woga, kwa sasa Hamas wamejificha nyuma ya wanawake na watoto wengine washakamuliwa ngama.
Ile kauli ya US kusema Israel isiingie Gaza ilikuwa siasa tu. Na hii ngoma Hizbollah anaenda kuchapika zaidi kuliko Hamas.
 
Hizo Iron dome zinaweza kuzidiwa?....basi inaonyesha zipo chache Sana.

T14 Armata
Israel ina eneo dogo hivyo inahitaji concentration kubwa ya mashambulizi kuzizidi AD systems. Nchi kama Urusi inalinda maeneo muhimu tu, wakati Israel almost kila eneo ni muhimu.
 
Hizo Iron dome zinaweza kuzidiwa?....basi inaonyesha zipo chache Sana.

T14 Armata
https://edition.cnn.com/2024/06/20/politics/us-concerns-israel-iron-dome-hezbollah/index.html

Mkuu hio ni CNN sio maneno yangu

Screenshot 2024-06-22 160605.png
 
Back
Top Bottom