Utakuwa ni jambo jemaAbdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina.
Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik akaongeza kusema kuwa wana mpango kabambe kuanza kuzuia njia nyengine zinazotumiwa na Israel na ambazo hazikufikiriwa ikiwemo kuzuia meli hizo zipite bahari ya hindi yote hata kuzunguka Afrika kusini.
Yemen’s Houthis vow to expand shipping blockage to Indian Ocean
Bahari ya hindi yote hawatoweza, inabidi wa cross bahari za nchi zingine, je hizo nchi zina support vitendo vyao?Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina.
Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik akaongeza kusema kuwa wana mpango kabambe kuanza kuzuia njia nyengine zinazotumiwa na Israel na ambazo hazikufikiriwa ikiwemo kuzuia meli hizo zipite bahari ya hindi yote hata kuzunguka Afrika kusini.
Yemen’s Houthis vow to expand shipping blockage to Indian Ocean
Through international waters brpBahari ya hindi yote hawatoweza, inabidi wa cross bahari za nchi zingine, je hizo nchi zina support vitendo vyao?
Tofauti na ndege za abiria za kisasa meli nyingi za mizigo huwa zinatambaa na ukanda ulio karibu na bara kwanza kwa ajili ya matumaini ya usalama zaidi wa safari na pili meli nyingi zinaunganisha bandari katika safari zao.Bahari ya hindi yote hawatoweza, inabidi wa cross bahari za nchi zingine, je hizo nchi zina support vitendo vyao?
And nchi zilizo closer na bahar husika zita kaa kimya zikiangalia conflict at front door? hii itakuwa massive international conflicts ambaya itawaumiza wao zaidiThrough international waters brp
Fafanua itawaumiza wao kivipi?And nchi zilizo closer na bahar husika zita kaa kimya zikiangalia conflict at front door? hii itakuwa massive international conflicts ambaya itawaumiza wao zaidi
watakaa kimya kama wanavyokaa kimya kuangalia watu wakiuliwa Gaza kwa mabomu na njaa.And nchi zilizo closer na bahar husika zita kaa kimya zikiangalia conflict at front door? hii itakuwa massive international conflicts ambaya itawaumiza wao zaidi
Hata walipo na wanyoyafanya kuna nchi zinaona na zimekaa silent.And nchi zilizo closer na bahar husika zita kaa kimya zikiangalia conflict at front door? hii itakuwa massive international conflicts ambaya itawaumiza wao zaidi
Angalia eneo wanalofanyia, they are supported na majirani. Lakin entire indian ocean they that differentHata walipo na wanyoyafanya kuna nchi zinaona na zimekaa silent.
Lets see