Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa swala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa kwa viongozi wakuu wa Hesbolah na Hamasi(asijiamini sana kiulinzi, lolote laweza tokeo)
Bado inaweza isiwe leo, ila hapaswi kuendelea kufanya hivi kwa siku za usoni kwani wanaweza kumla kichwa( Netanyau ni mental case).
Nieleweki kabisa kuwa Siwapendi wa Israel kwasababu moja kubwa: kuwaonea wapalestina na kuwaua hovyo kama wanaua kuku au panya. Hawana ubinadamu kabisa na wanajiona wao ni binadamu wa daraja la juu kulinganisha na wapalestina wanaowaona kama sio binadamu.
Kwa msingi huo, nisingependa kuona Israel anafanikiwa katika vita yake na Iran na ndio maana namtahadharisha Ayatollah asijaribu kujianika maana Israel huwa hawajali nini kitatokea baadae(hawapimi maamuzi yao) la muhimu kwao ni kutaka kuonyesha dunia kuwa wao ni bora kivita katika hilo eneo lote la Mashariki ya Kati.
Kwahiyo, hawatasiita kumshambulia Ayatollah kwa kushitukiza sambamba na kushambuliwa vituo vya kijeshi na nuclear facilities za muajemi pamoja na kushambulia raia kwa kushambulua mfululizo kuhakikisha Iran hapati muda wa kujipanga.
Mpaka sasa Israel ameshaona uwezo wa Iran na hatari iliyopo kuingia nae vitani. Hivyo, njia pekee ya kupambana nae ni kuanzisha mashambulizi ya non stop (full blown war) jambo ambalo linaweza kuwafanga Iran watumie unconventional weapons kama vile sila za nyuklia na hii ndio hatari ambayo mmarekani ameshaiona.
Kwa kifupi, Israel alijaa sana kiburi hasa baada ya kuua viongozi wa Hamasi na Hesbolah huku Iran akiwa katulia, ila sasa kiburi hicho mbele ya Iran hakitavumiliwa tena na unaweza kuwa ni mwanzo wa janga la kibinadamu katika hilo eneo. Dunia ikizembea, tunaweza shuhudia vita ya tatu ya dunia kiutani utani tu.
Muda utaongea.
NB: Kuingia katika vita au kuendelea kupigana vita wakati kiongozi wa juu wa nchi ameuwawa au kujeruhiwa, ni disadvantage kubwa sana na ni advantage kubwa sana kwa adui na Israel huenda anapanga kufanya jambo kama hili akijua faida ya kufanya hivyo.
Throughout history, several empires sought to eliminate or subjugate the people of Israel, and many of these empires ultimately collapsed or were destroyed. Here are some key examples:
1.
Egyptian Empire (Pharaoh’s reign during the Exodus) – Pharaoh attempted to suppress and enslave the Israelites. Despite his efforts, Egypt suffered plagues and calamities, and the Israelites were freed. Egypt remained a powerful kingdom but lost its prominence over time.
2.
Assyrian Empire (8th century BCE) – The Assyrians conquered the northern kingdom of Israel in 722 BCE and took many Israelites into exile. However, the Assyrian Empire later fell in 612 BCE when it was conquered by the Babylonians and Medes.
3.
Babylonian Empire (6th century BCE) – The Babylonians destroyed Jerusalem and the First Temple in 586 BCE, leading to the exile of the Jewish people. However, Babylon itself was conquered by the Persians in 539 BCE.
4.
Persian Empire (Haman’s plot during King Xerxes' reign) – In the story of Esther, Haman plotted to annihilate the Jewish people, but his plans were thwarted. The Persian Empire lasted longer but eventually fell to Alexander the Great in 330 BCE.
5.
Greek Empire (Seleucid Empire, 2nd century BCE) – The Seleucid ruler Antiochus IV Epiphanes attempted to forcibly Hellenize the Jews, desecrating the Second Temple. This led to the Maccabean Revolt. The Seleucid Empire weakened and was eventually absorbed by the Roman Empire.
6.
Roman Empire (1st century CE) – The Romans destroyed the Second Temple in 70 CE and sought to erase Jewish identity through harsh repression. However, the Roman Empire itself collapsed over centuries, with the Western Roman Empire falling in 476 CE and the Eastern (Byzantine) Empire in 1453 CE.
7.
Nazi Germany (20th century) – Adolf Hitler's regime aimed to exterminate the Jewish people during the Holocaust. While six million Jews were killed, the Nazis were ultimately defeated in World War II, and the state of Israel was established in 1948.
8.
Iranian Regimes (Modern Day) – Even today, certain Iranian regimes have expressed hostility towards Israel, threatening its destruction. However, like the empires before them, their number is counted, and their time is limited, as Israel continues to stand strong and persevere.
These examples highlight a consistent theme: those who seek to destroy Israel or its people ultimately face decline or destruction, while Israel endures.