Kiongozi wa Israel anamlalamikia Biden kuwa anaiumiza nchi yao

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans

Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake.

Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake.

Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora ambae yupo chama kimoja na Netanyahu ni mawazo ya viongozi wengi wa Israel ambao ni wapenda vita.

Kama Israel inajiweza kivita ya nini kuanza kulalama kumhusu Biden?

Jamaa wanajiaibisha sana kwa kuomba omba na hio ndio faida ya kuwa omba omba, sasa hata kujifanyia maamuzi hawawezi hadi US awape msaada.

Ni aibu.
 
.
InShot_20240415_194902547.jpg
 
hiyo maana yake Israel wanampigia upatu au kampeni D.Trump na hiyo ina athari kubwa kwa Biden anapopambana kuchaguliwa tena 🐒
 
Wayahudi wakimkataa ajiandae kwenda kulea wajukuu na mbwa
 
Israel, Russia & China wanawakubali sana republican maana wapo straight sana, Trump kushika tu madaraka akatangaza Jerusalem ni mji Mkuu wa Israel
 
Trump angesababisha vita.
Israel inataka vita na inatumia kila mbinu kumuingiza US vitani na wananchi wa US hawataki vita.

Trump hafai kuwa rais wa US.
 
Wayahudi wakimkataa ajiandae kwenda kulea wajukuu na mbwa
Hizi kauli ndio ziliwaponza wayahudi, hizi ni kauli za white supremacists ambao walikua na nia ya kusambaza chuki dhidi ya jews.

Kusema kwamba Jews ndio wanaamua mtawala wa US awe nani ni kauli za kuwaponza wayahudi.
 
Hajui kuwa anawaponza wenzao kwa kuwapa uwezo ambao hawana?
 
Ndio kama ya Rwanda hutu kuanza kuwaua tutsi, kisa waliambiwa serikalini wanaotawala ni tutsi.

Ni kauli za chuki zenye malengo ovu.
 
Back
Top Bottom