100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
hiyo maana yake Israel wanampigia upatu au kampeni D.Trump na hiyo ina athari kubwa kwa Biden anapopambana kuchaguliwa tena 🐒Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans
Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake.
Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake.
Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora ambae yupo chama kimoja na Netanyahu ni mawazo ya viongozi wengi wa Israel ambao ni wapenda vita.
Kama Israel inajiweza kivita ya nini kuanza kulalama kumhusu Biden?
Jamaa wanajiaibisha sana kwa kuomba omba na hio ndio faida ya kuwa omba omba, sasa hata kujifanyia maamuzi hawawezi hadi US awape msaada.
Ni aibu.
Wayahudi wakimkataa ajiandae kwenda kulea wajukuu na mbwahiyo maana yake Israel wanampigia upatu au kampeni D.Trump na hiyo ina athari kubwa kwa Biden anapopambana kuchaguliwa tena 🐒
Trump angesababisha vita.Israel, Russia & China wanawakubali sana republican maana wapo straight sana, Trump kushika tu madaraka akatangaza Jerusalem ni mji Mkuu wa Israel
Hizi kauli ndio ziliwaponza wayahudi, hizi ni kauli za white supremacists ambao walikua na nia ya kusambaza chuki dhidi ya jews.Wayahudi wakimkataa ajiandae kwenda kulea wajukuu na mbwa
Mkuu usiwe na chuki Kali hivyo,aliyepewa na Mungu kapewa.Harafu hilo ndo taifa teule. Nani kaliteua USA
Hajui kuwa anawaponza wenzao kwa kuwapa uwezo ambao hawana?Hizi kauli ndio ziliwaponza wayahudi, hizi ni kauli za white supremacists ambao walikua na nia ya kusambaza chuki dhidi ya jews.
Kusema kwamba Jews ndio wanaamua mtawala wa US awe nani ni kauli za kuwaponza wayahudi.
Ndio kama ya Rwanda hutu kuanza kuwaua tutsi, kisa waliambiwa serikalini wanaotawala ni tutsi.Hajui kuwa anawaponza wenzao kwa kuwapa uwezo ambao hawana?