Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni nani?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!

1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?

2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?

3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
 
Tanzaniani hakuna upinzani ndani na nje ya bunge, kuna Kibaraka na mercenaries wachache mtaani,

wengineo ni washirikina tu 🐒
 
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!

1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?

2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?

3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Akidi haikutumia, sasa mbunge mmoja wa kuchaguliwa upinzani rasmi haiwezekani.
 
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!

1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?

2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?

3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Mzee Freeman Mbowe
 
Inaitwa kambi ya wabunge wachache!
 
Hakuna Kambi ya upinzani Wala KUB, Bunge ni la chama kimoja hakuna Cha Kambi ya upinzani. Ndio maana baada ya hiyo aibu wakalazimisha kuwachukua akina Halima Mdee kuja kuficha aibu.
 
Mwaka 2020 Watanzania waliyachagua masisiyemu tu!Haya ni maajabu
Mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi, Magufuli kwa wendawazimu wake aliamua kujaza vilaza wa CCM bungeni ili awatumie kumsimika kuwa Rais wa milele.
 
Back
Top Bottom